Misitu na Nyuki
Member
- Mar 6, 2019
- 42
- 23
- Thread starter
- #41
hahaha.. unaweza ukajaribu mkuu. ni miti mingi inachangia kitu kama iko, hata huu pia inawezekana lakini wataalamu hatujafuatilia zaidi upande huu.Utuambie na mizizi yake inaongeza nguvu za kiume ili tukaichimbue vjzuri maana tumeshaujua