Ufahamu ugonjwa wa Jigiasis/funza

Ufahamu ugonjwa wa Jigiasis/funza

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Jigiasis/funza ni ugonjwa unaotoka na mdudu Funza pale anapoingia kwenye maeneo ya mwili wa binadamu hasa miguuni asilimia kubwa hutokan na mazingira ya vumbi na pia uchafu.

Dalili zake Irritation/kuwashwa/kukereketa pale anapoingilia na hata wakati mwingine homa,Matibabu yake ni Kuvaa viatu,kumtoa,Sindano ya tetanasi na pia antibiotic kuzuia sekondary bacteria infection.

Funza wanakera kwa kweli unaweza kukosa usingizi kabisa.
 
Aisee! Umenikumbusha nilipoenda Kigoma, nilikuwa busy na kuvaa sandals. Siku nilipopatwa na hiyo kadhia duh, ikawa ni viatu muda wote.
 
Back
Top Bottom