Wakristo wenzako wakati wa huu ugonjwa walijifungia makanisani na kukesha wakisali, na matokeo yake walikufa kama kuku wenye videli.
Wayahudi waliosemwa wanalaana, hawakufa sana, sababu walikuwa wametengwa.
Ujinga ulitamalaki. Historia ya matibabu inaonyesha mwanadamu alifanikiwa kupambana na magonjwa, pale alipotazama natural cause-mwili wenyewe, na sio kutafuta chanzo in relation na hizo imani za kidini au kichawi. Mungu alipomuumba mwanadamu alimpa akili ili aweze kupambana na mazingira yake, sio kukesha akilia na kuomba.
Sent from my Infinix X688B using
JamiiForums mobile app