Ufahamu uhalisia wa behind the scenes, ya movie mbalimbali

Ufahamu uhalisia wa behind the scenes, ya movie mbalimbali

Hapana Director na Cinematographer sio mtu mmoja. Kibongo bongo inaweza ikawa hivyo ila kwa wenzetu kila kitu kinajitenga.
Cinematographer yeye anarekodi motion picture, ila director ana direct scenes. Kuna wakati pia director hushika kamera. Kwa mfano Director wa Creed III ni Michal B Jordan, na sterling ni yeye mweyewe. Je unadhani nai alikua kashika kamera wakati yeye anaigiza?? Jibu ni cinematographer
Duuh Cinematography ana kazi nyingi sana aiseee duuh
 
Hyo movie ya apocalypto imetoka 2006 lakini camera zilizotumika ni hatar mpak kuna crane kabisa ya kushikilia camera , Yan muigizaji anazungukwa na camera pande zote.... Wakat huo Sisi akina Kanumba wanatumia vile vi camera movie , beberu ni beberu tuu
Ndo hivo tutafanyaje sasa unazani... 😂😂😂🤓
 
Hapana Director na Cinematographer sio mtu mmoja. Kibongo bongo inaweza ikawa hivyo ila kwa wenzetu kila kitu kinajitenga.
Cinematographer yeye anarekodi motion picture, ila director ana direct scenes. Kuna wakati pia director hushika kamera. Kwa mfano Director wa Creed III ni Michal B Jordan, na sterling ni yeye mweyewe. Je unadhani nai alikua kashika kamera wakati yeye anaigiza?? Jibu ni cinematographer
Kwa nini unamuita sterling badala ya starring?
 
Hyo movie ya apocalypto imetoka 2006 lakini camera zilizotumika ni hatar mpak kuna crane kabisa ya kushikilia camera , Yan muigizaji anazungukwa na camera pande zote.... Wakat huo Sisi akina Kanumba wanatumia vile vi camera wakitumiamovie , beberu ni beberu tuu
Wakitumiamovie hizo camera, utanunua movie elfu 50??😂😂
 
Hapana Director na Cinematographer sio mtu mmoja. Kibongo bongo inaweza ikawa hivyo ila kwa wenzetu kila kitu kinajitenga.
Cinematographer yeye anarekodi motion picture, ila director ana direct scenes. Kuna wakati pia director hushika kamera. Kwa mfano Director wa Creed III ni Michal B Jordan, na sterling ni yeye mweyewe. Je unadhani nai alikua kashika kamera wakati yeye anaigiza?? Jibu ni cinematographer
Kwenye professional film making Director kamwe hawezi kushika camera. Kazi ya Director ni kuongoza mchakato mzima wa utengenezaji movie, ni mtu mkubwa. Idara ya uchukuaji picha (cinematography) huwa inakuwa chini ya Director of Photography (DOP). Yeye huwa anawasimamia wachukuaji picha (cinematographers).
 
Acha ubaguzi tuwekee na behind ze sini za kibongo tuone kingwendu na kile kitambi chake
 
Najua kila mmoja ana hobby azipendazo, I we kuangalia mpira, kusikiliza Nyimbo, kuSoma vitabu na hata kupika.
👉Ila Mimi ni mmoja ya watu ambao mapenzi yangu makubwa yapo katika movie na series.

Nimekuwa nikipenda uigizaji, uandishi na utayarishaji was movie na tamthilia mbali mbali, hivyo leo nikaona niwaletee uhalisia wa behind the scene ya movie au tamthilia tulizowahi kuziona au kuzikubali.

01.
🎞️ Apocalypto (2006)
🎬 Directed by Mel Gibson
🎥 Cinematography Dean Semler
View attachment 2641692

02👉
🎞️ John Wick: Chapter 3 – Parabellum (2019)
🎬 Directed by Chad Stahelski
🎥 Cinematography Dan Laustsen
View attachment 2641695

O3👉
🎞️ Captain America: Civil War (2016)
🎬 Directed by Anthony Russo & Joe Russo
🎥 Cinematography Trent Opaloch
View attachment 2641696

04👉
🎞️ Mission: Impossible – Dead Reckoning Part One (2023)
Release date July 12, 2023
🎬 Directed by Christopher McQuarrie
🎥 Cinematography Fraser Taggart
View attachment 2641697

05👉
🎞️ The Falcon and the Winter Soldier (2021) Tv series
🎬 Directed by Kari Skogland
🎥 Cinematography P.J. Dillon
View attachment 2641700

06👉
🎞️ The Matrix Resurrections (2021)
🎬 Directed by Lana Wachowski
🎥 Cinematography Daniele Massaccesi & John Toll
View attachment 2641702

07👉
🎞️ Indiana Jones and the Kingdom of the Crystal Skull (2008)
🎬 Directed by Steven Spielberg
🎥 Cinematography Janusz KamińSkiView attachment 2641718

08👉
🎞️ Star Wars: The Rise of Skywalker (2019)
🎬 Directed by J. J. Abrams
🎥 Cinematography Dan Mindel

Cilovers.com/links/ for more ⬅️View attachment 2641719

I mean no malice to nobody, cc Lovelovie
John Wick Chapter 4
 
Back
Top Bottom