Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Duuh Cinematography ana kazi nyingi sana aiseee duuhHapana Director na Cinematographer sio mtu mmoja. Kibongo bongo inaweza ikawa hivyo ila kwa wenzetu kila kitu kinajitenga.
Cinematographer yeye anarekodi motion picture, ila director ana direct scenes. Kuna wakati pia director hushika kamera. Kwa mfano Director wa Creed III ni Michal B Jordan, na sterling ni yeye mweyewe. Je unadhani nai alikua kashika kamera wakati yeye anaigiza?? Jibu ni cinematographer
Ndo hivo tutafanyaje sasa unazani... ππππ€Hyo movie ya apocalypto imetoka 2006 lakini camera zilizotumika ni hatar mpak kuna crane kabisa ya kushikilia camera , Yan muigizaji anazungukwa na camera pande zote.... Wakat huo Sisi akina Kanumba wanatumia vile vi camera movie , beberu ni beberu tuu
Kwa nini unamuita sterling badala ya starring?Hapana Director na Cinematographer sio mtu mmoja. Kibongo bongo inaweza ikawa hivyo ila kwa wenzetu kila kitu kinajitenga.
Cinematographer yeye anarekodi motion picture, ila director ana direct scenes. Kuna wakati pia director hushika kamera. Kwa mfano Director wa Creed III ni Michal B Jordan, na sterling ni yeye mweyewe. Je unadhani nai alikua kashika kamera wakati yeye anaigiza?? Jibu ni cinematographer
Katika maelezo yote hayo wee umenyaka neno moja tuuKwa nini unamuita Sterling badala ya starring?
Mkuu ndo Mana nikaweka emoji za kicheko, nimenshangaa kumbe ushaleta concept tayari.Kama unaona itakupa furaha tukana tu.
Wakitumiamovie hizo camera, utanunua movie elfu 50??ππHyo movie ya apocalypto imetoka 2006 lakini camera zilizotumika ni hatar mpak kuna crane kabisa ya kushikilia camera , Yan muigizaji anazungukwa na camera pande zote.... Wakat huo Sisi akina Kanumba wanatumia vile vi camera wakitumiamovie , beberu ni beberu tuu
Cinematography ni uchukuaji wa picha za sinema. Anayefanya kazi hii anaitwa cinematographer. Kwenye bongo movie huwa wanamuita camera man.Cinematography maana yake nini ??
Na huku bongo kwetu mbona kwenye movies zao sionagi hili neno..?
Kwenye professional film making Director kamwe hawezi kushika camera. Kazi ya Director ni kuongoza mchakato mzima wa utengenezaji movie, ni mtu mkubwa. Idara ya uchukuaji picha (cinematography) huwa inakuwa chini ya Director of Photography (DOP). Yeye huwa anawasimamia wachukuaji picha (cinematographers).Hapana Director na Cinematographer sio mtu mmoja. Kibongo bongo inaweza ikawa hivyo ila kwa wenzetu kila kitu kinajitenga.
Cinematographer yeye anarekodi motion picture, ila director ana direct scenes. Kuna wakati pia director hushika kamera. Kwa mfano Director wa Creed III ni Michal B Jordan, na sterling ni yeye mweyewe. Je unadhani nai alikua kashika kamera wakati yeye anaigiza?? Jibu ni cinematographer
Tunayofanya bongo ni cinema mkuuCinematography ni uchukuaji wa picha za sinema. Anayefanya kazi hii anaitwa cinematographer. Kwenye bongo movie huwa wanamuita camera man.
John Wick Chapter 4Najua kila mmoja ana hobby azipendazo, I we kuangalia mpira, kusikiliza Nyimbo, kuSoma vitabu na hata kupika.
πIla Mimi ni mmoja ya watu ambao mapenzi yangu makubwa yapo katika movie na series.
Nimekuwa nikipenda uigizaji, uandishi na utayarishaji was movie na tamthilia mbali mbali, hivyo leo nikaona niwaletee uhalisia wa behind the scene ya movie au tamthilia tulizowahi kuziona au kuzikubali.
01.
ποΈ Apocalypto (2006)
π¬ Directed by Mel Gibson
π₯ Cinematography Dean Semler
View attachment 2641692
02π
ποΈ John Wick: Chapter 3 β Parabellum (2019)
π¬ Directed by Chad Stahelski
π₯ Cinematography Dan Laustsen
View attachment 2641695
O3π
ποΈ Captain America: Civil War (2016)
π¬ Directed by Anthony Russo & Joe Russo
π₯ Cinematography Trent Opaloch
View attachment 2641696
04π
ποΈ Mission: Impossible β Dead Reckoning Part One (2023)
Release date July 12, 2023
π¬ Directed by Christopher McQuarrie
π₯ Cinematography Fraser Taggart
View attachment 2641697
05π
ποΈ The Falcon and the Winter Soldier (2021) Tv series
π¬ Directed by Kari Skogland
π₯ Cinematography P.J. Dillon
View attachment 2641700
06π
ποΈ The Matrix Resurrections (2021)
π¬ Directed by Lana Wachowski
π₯ Cinematography Daniele Massaccesi & John Toll
View attachment 2641702
07π
ποΈ Indiana Jones and the Kingdom of the Crystal Skull (2008)
π¬ Directed by Steven Spielberg
π₯ Cinematography Janusz KamiΕSkiView attachment 2641718
08π
ποΈ Star Wars: The Rise of Skywalker (2019)
π¬ Directed by J. J. Abrams
π₯ Cinematography Dan Mindel
Cilovers.com/links/ for more β¬ οΈView attachment 2641719
I mean no malice to nobody, cc Lovelovie
Ni π₯π₯ Sana, babeπππJohn Wick Chapter 4
Ety mwisho John Wick akafariki nilichukia sana.Ni π₯π₯ Sana, babeπππ
MkuuNi [emoji91][emoji91] Sana, babe[emoji7][emoji7][emoji7]
Nambiee Kaka Poor BrainMkuu
But baby, didn't you see my messages π€Ety mwisho John Wick akafariki nilichukia sana.
Ila inasemekana Kuna John wick 5, na yumo so huwezi just wanna maana gani??Ety mwisho John Wick akafariki nilichukia sana.
Nikiingia jf huku simu ina autorotate yenyewe.Nambiee Kaka Poor Brain