Ufahamu wa Muna katika mambo ya kimungu

GIUSEPPE

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
5,239
Reaction score
6,225
Nimeangalia mahojiano mengi ambayo amefanya muna baada ya kuokoka akizungumzia maisha ya wokovu na ufahamu wa kimungu, nimegundua kuwa Muna unaupeo mdogo sana wa uelewa, pia inaonyesha maisha yake na makuzi yake yalikuwa mbali sana na dini, namna anavyo ongelea imani ya kikristo ni kama alikuwa kwenye imani ya budha sasa ndo kaingia ukristo. Nawashauri waandishi waache kumuhoji Muna kuhusu mambo ya Kimungu bali waongee nae mambo ya bongo muvi ndo anayajua zaidi.

 
Huyu kachukulis msiba kama kiki vilee..
 
Sasa kaokoka na mitatoo ile na mara aseme mtoto ni wa nje ya ndoa....Plus ana ndoa ya kanisani n now yupo alone mume kwingine...Je watu hawamkwangwaru kweli?
 
Huyu Mungu amemchukua mtoto makusudi ili kumuumbua na ulokole wake wa kinafiki
Umeokoka lakini Mume wako wa ndoa huna patano nae?
Umeokoka mtoto ana Baba watatu na wote unapokea miamala kutoka kwao?
 
Hivi hiki kibibi kinachoonyesha kabisa kinaanza kuzeeka mnakiamini kweli kinaposema kimeokoka? Ni magumu ya maisha tu yanafanya watu wabuni mbinu tofauti za kujipatia fedha!
 
Mnaweza kumlaumu Muna hamjui Mungu, wakati hakuna anayemjua Mungu.

Kwa sababu Mungu hayupo.

Sasa utamjuaje Mungu kama hayupo?
Mshana ndugu yangu ebu njoo huku mana kiranga naona amenza mambo yake....

Cc Mshana jr
 
Serious mi jamani huyo Muna na marehemu wala sina aina ni watu gani kwa kweli naona tu watu wanalialia na maneno back to forth kikubwa nilichoki grasp ni kuwa huyo muna kawagonganisha kichwa ndumes kama tatu hivi na zote zikigombea mtoto
 
Hivi hatuna cha kuzungumzia zaidi ya muna? Kila siku muna muna. Muna hebu acheni ubint
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…