GIUSEPPE
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 5,239
- 6,225
Nimeangalia mahojiano mengi ambayo amefanya muna baada ya kuokoka akizungumzia maisha ya wokovu na ufahamu wa kimungu, nimegundua kuwa Muna unaupeo mdogo sana wa uelewa, pia inaonyesha maisha yake na makuzi yake yalikuwa mbali sana na dini, namna anavyo ongelea imani ya kikristo ni kama alikuwa kwenye imani ya budha sasa ndo kaingia ukristo. Nawashauri waandishi waache kumuhoji Muna kuhusu mambo ya Kimungu bali waongee nae mambo ya bongo muvi ndo anayajua zaidi.