Ufahamu wa Muna katika mambo ya kimungu

Yaliyotokea ni somo tosha hivyo waache waendelee kuelimishana juu ya ulokole feki na hizi dini za kubumba. Mungu asamehi mtu kwa kutolea mimachozi bali usafi wa roho yako. huyu mama ni mfano wa mama wabovu sana ambao hawajawahi kutokea katika tanzania hii. anatanguliza kudhibitisha uasherati ndani ya ndoa. na anatania dini kwa kufunga ndoa ya kikiristo alafu anamkanyagisha mume kwani hawezi kuoa bila maridhiano ya suruhu kwani kuachana kwao kwa ndoa hii wanatenganishwa na kifo tu.
Hivi hatuna cha kuzungumzia zaidi ya muna? Kila siku muna muna. Muna hebu acheni ubint
w
 
Watu tumeona wanga wa usiku, nini huyo wa Mchana.
Kwahiyo umeona wanga na unaamini kuwa wanga wapo ila hauamini kuwa Mungu yupo kwa kuwa hujamuona, Hapo sasa kwa mara ya kwanza ndo nimekuelewa na nimeelewa point yako, kwa mantiki hiyo huna haja ya kuamini kuwa Mungu yupo mpaka uthibitishe kuwa yupo, sisi tulio thibitisha kuwa yupo achana na sisi maana hata kama tukikwambia hutaamini utataka mpaka ajithibitishe kwako mwenyewe.

wewe na huyu jamaa hamna tofauti kabisa.
 
Huwezi kusema umeokoka huku ujatengeneza masuala yako binafsi,hasa kwa yeye mambo ya ndoa angepasa kutengeneza na Kusamehe kwani kuna nguvu kubwa sana kwenye msamaha .Msamaha una nguvu kubwa sana kwenye wokovu.Ukisoma Mathayo 6:9-12 "Basi ninyi salini hivi.....12.Msipowasamehe wengine makosa yao wala baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu" Ukisoma Zaburi 103:3 Hapa tunaona kuwa kanuni ya Mungu ni kusamehe kwanza kabla ya kuponya.Na ndio maana waweza kumwona mtu anasamehe ameokoka lakini bado yupo kwenye ugonjwa kwa sababu ya kutokusamehe.ila kusamehe mtu aliyekukosea sio jambo la mzaha.tunatakiwa kusamehe kwa sababu kuna nguvu iliyopo nyuma ya mtu aliyekukwaza au kukuumiza.Kwa hiyo kuokaka sio kwenda kuimba mapambio au kukesha unaomba au kuimba sana .Ni kubadili mwenendo wako na kutengeneza na watu wako.Wokovu wa huyu dada ni wa social media na ajitafakari kwa yaliotokea wakati wa msiba.Ni hayo tu yakumshauri
 
Umjue Mungu huku mtoto unamnyoa viduku na stail za ajabu ajabu .

Uyo Mungu au mungu !! ...
 
Logical non sequitur.

Unaelewa maana yake nini?
 
She did a good job jamani duh!
 
Muna ni yule mdada alie muibia Wema chupi, hapo ndipo mwanzo wake wa kujulikana.... tehteehhh[/unajua nimecheka kwa sauti mpaka watu wamenishangaa umaarufu wa muna ndio ulianzia hapo? Watu mna masimango
 
Mwili wa marahemu patrick peter/castro etc umeshazikwa?
 
Sasa kaokoka na mitatoo ile na mara aseme mtoto ni wa nje ya ndoa....Plus ana ndoa ya kanisani n now yupo alone mume kwingine...Je watu hawamkwangwaru kweli?
who are you to judged
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…