Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Kwa kauli yako unataka kuwaaminisha watu kuwa mshana ni mwanga....?Watu tumeona wanga wa usiku, nini huyo wa Mchana.
Mwanga ndio nin kwan?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kauli yako unataka kuwaaminisha watu kuwa mshana ni mwanga....?Watu tumeona wanga wa usiku, nini huyo wa Mchana.
wHivi hatuna cha kuzungumzia zaidi ya muna? Kila siku muna muna. Muna hebu acheni ubint
Kwahiyo umeona wanga na unaamini kuwa wanga wapo ila hauamini kuwa Mungu yupo kwa kuwa hujamuona, Hapo sasa kwa mara ya kwanza ndo nimekuelewa na nimeelewa point yako, kwa mantiki hiyo huna haja ya kuamini kuwa Mungu yupo mpaka uthibitishe kuwa yupo, sisi tulio thibitisha kuwa yupo achana na sisi maana hata kama tukikwambia hutaamini utataka mpaka ajithibitishe kwako mwenyewe.Watu tumeona wanga wa usiku, nini huyo wa Mchana.
Logical non sequitur.Kwahiyo umeona wanga na unaamini kuwa wanga wapo ila hauamini kuwa Mungu yupo kwa kuwa hujamuona, Hapo sasa kwa mara ya kwanza ndo nimekuelewa na nimeelewa point yako, kwa mantiki hiyo huna haja ya kuamini kuwa Mungu yupo mpaka uthibitishe kuwa yupo, sisi tulio thibitisha kuwa yupo achana na sisi maana hata kama tukikwambia hutaamini utataka mpaka ajithibitishe kwako mwenyewe.
wewe na huyu jamaa hamna tofauti kabisa.
![]()
Sitaki kuamini, nataka kujua.Nikishaelewa maana yake ndo nitaamini kuwa hakuna Mungu kama wewe?
Muna ni yule mdada alie muibia Wema chupi, hapo ndipo mwanzo wake wa kujulikana.... tehteehhh[/unajua nimecheka kwa sauti mpaka watu wamenishangaa umaarufu wa muna ndio ulianzia hapo? Watu mna masimango
who are you to judgedSasa kaokoka na mitatoo ile na mara aseme mtoto ni wa nje ya ndoa....Plus ana ndoa ya kanisani n now yupo alone mume kwingine...Je watu hawamkwangwaru kweli?