Ufalme nchini uingereza hautakuwepo tena ifikapo mwaka 2106

Ufalme nchini uingereza hautakuwepo tena ifikapo mwaka 2106

Execute

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
3,000
Reaction score
7,336
Maoni ya waingereza yanaonesha kwamba ufalme utaendelea kuwepo kwa uhakika mpaka mwaka 2036 na una uwezekano mkubwa wa kuwepo mwaka 2056.

Hata hivyo maoni ya wengi ni kwamba hautakuwepo ifikapo mwaka 2106

_______________________

Support for establishing a republic instead of a monarchy was around 18 per cent in the United Kingdom in 2006, while a majority thinks that there will still be a monarchy in the United Kingdom in ten years' time, public opinion is rather uncertain about a monarchy still existing in fifty years and a clear majority believes that the monarchy will no longer exist a century after the poll. Public opinion is, however, certain that the monarchy will still exist in thirty years.
 
Wanaweza kuufuta kisha wakaurejesha tena.

Waliwahi kuufuta miaka ya nyuma (karne ya 17), wakahamia kwenye muundo wa Republic, ukawa utawala mbaya kuliko hata huo ufalme ikabidi waurudishe ufalme.
 
Wanaweza kuufuta kisha wakaurejesha tena.

Waliwahi kuufuta miaka ya nyuma (karne ya 17), wakahamia kwenye muundo wa Republic, ukawa utawala mbaya kuliko hata huo ufalme ikabidi waurudishe ufalme.
Kumbe? Muda utatupatia majibu sahihi maana kizazi kipya kinahoji kwanini wao tu ndio waongoze peke yao.
 
Back
Top Bottom