Ufalme unaojifitini lazima utaanguka. Umeme ni eneo ambalo serikali inajifitini

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Tazama hii video uone jinsi ambavyo seeikali ya CCM inavyolihujumu Taifa.

Your browser is not able to display this video.


Najiuliza, TRA wanapata wapi ujasiri kudai kodi kwa wajasiriamali wanaopigwa hasara na serikali kwa kukosa umeme wa uhakika?

Nchi haiendeshwi namna hii. Tunapaswa kuiwajibisha CCM haijawahi kuleta unafuu zaidi ya maigizo ya majukwaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…