Ufalme wa P Funky Majani ndani y East Africa!

Ufalme wa P Funky Majani ndani y East Africa!

Yes, Master Jay kilichombeba ni uchache wa studio na shule, ila idea za beat alikuwa kawaida sana hata kwa kina Mika Mwamba hasogei. Mfano beat ya wimbo wa Wagosi 'Lidandasi' nilikuwa naona kinyaa kusikiliza, sema wasanii kipindi hicho walikuwa wanaandika sana so hata kama beat mbovu tunasikiliza mashairi. Wasanii wengine waliofanya kazi nyingi na Master Jay ni Mr Ebbo (RIP), Jonny Walker(RIP), Ras Lion, Mr Paul, Stara Thomas, n.k.
Hapo kwa Ras Lion, Sijui nachanganya, hana araaipii?
 
IMG_1133.JPG


IMG_1134.JPG
 
Yes, Master Jay kilichombeba ni uchache wa studio na shule, ila idea za beat alikuwa kawaida sana hata kwa kina Mika Mwamba hasogei. Mfano beat ya wimbo wa Wagosi 'Lidandasi' nilikuwa naona kinyaa kusikiliza, sema wasanii kipindi hicho walikuwa wanaandika sana so hata kama beat mbovu tunasikiliza mashairi. Wasanii wengine waliofanya kazi nyingi na Master Jay ni Mr Ebbo (RIP), Jonny Walker(RIP), Ras Lion, Caz T, Mr Paul, Stara Thomas,Wakali Kwanza n.k.
Yeah ninachoona ni kama alikuwa anabahatisha tu beats zake. Yani kwa underdog kama mimi tu kwenye fl studio so far nna beats kali zaidi kuliko hata huyo Master Jay.
 
Tycoon shah ft Fid Q na Inspekta haroon [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]..MAJANI
 
Back
Top Bottom