Hapo kwa Ras Lion, Sijui nachanganya, hana araaipii?Yes, Master Jay kilichombeba ni uchache wa studio na shule, ila idea za beat alikuwa kawaida sana hata kwa kina Mika Mwamba hasogei. Mfano beat ya wimbo wa Wagosi 'Lidandasi' nilikuwa naona kinyaa kusikiliza, sema wasanii kipindi hicho walikuwa wanaandika sana so hata kama beat mbovu tunasikiliza mashairi. Wasanii wengine waliofanya kazi nyingi na Master Jay ni Mr Ebbo (RIP), Jonny Walker(RIP), Ras Lion, Mr Paul, Stara Thomas, n.k.
Yupo hai NdukulusudikuchoHapo kwa Ras Lion, Sijui nachanganya, hana araaipii?
Ahsante mkuu. Nimefananisha.Yupo hai Ndukulusudikucho
Huyo naye alikuwa mzuri sema kazi zake zilikuwa chache
MAJANI HAFAI YULE MTU ANA MIBITI MIKALI TUPU IKIPIGWA NYIMBO YA KALI P RIAFANDE WE UNACHEZA BITI TUHapo kwa Ras Lion, Sijui nachanganya, hana araaipii?
[emoji1] [emoji1]MAJANI HAFAI YULE MTU ANA MIBITI MIKALI TUPU IKIPIGWA NYIMBO YA KALI P RIAFANDE WE UNACHEZA BITI TU
Ww ndio unataka potosha sasaJebbyb hajawah kufanya nyimbo kwa majani acha kupotosha
Yeah ninachoona ni kama alikuwa anabahatisha tu beats zake. Yani kwa underdog kama mimi tu kwenye fl studio so far nna beats kali zaidi kuliko hata huyo Master Jay.Yes, Master Jay kilichombeba ni uchache wa studio na shule, ila idea za beat alikuwa kawaida sana hata kwa kina Mika Mwamba hasogei. Mfano beat ya wimbo wa Wagosi 'Lidandasi' nilikuwa naona kinyaa kusikiliza, sema wasanii kipindi hicho walikuwa wanaandika sana so hata kama beat mbovu tunasikiliza mashairi. Wasanii wengine waliofanya kazi nyingi na Master Jay ni Mr Ebbo (RIP), Jonny Walker(RIP), Ras Lion, Caz T, Mr Paul, Stara Thomas,Wakali Kwanza n.k.