Ufananuzi toka HESLB na MOEVT

Ufananuzi toka HESLB na MOEVT

Kilalo

Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
65
Reaction score
12
Hadi sasa ni miezi kadhaa imepita toka semester ya masomo ya 2013/2014. Cha kusikitisha ni kuwa wanafunzi wa postgraduate (uzamili na uzamivu) katika chuo kikuu kimojawapo hapa Dodoma hatulipwa fedha ya kujikumu na utafiti. Tunaomba ufafanuzi hali hii inasababishwa na nini? Wahusika wajibikeni
 
Back
Top Bottom