Mwanahisa
JF-Expert Member
- Jun 29, 2012
- 1,382
- 513
Hapa na pale kila uchwao naona wenye uthubutu wakiimarika, inatia moyo sana.... Pongezi kwa wale waliochagua mbio za mwendo mrefu na medani zisizotundikwa kifuani.
Wadau leo naomba mlitupie macho na mawazo swala hili la kutofanikiwa kwa baadhi ya biashara za kuasili (FRANCHISE) hapa kwetu Tanzania, hasa kwenye biashara ya migahawa. Kama tunavojua kuasili biashara ni moja ya njia kuu zakuanza na kuuigia kwenye ulimwengu huu wa biashara, moja ya mifano ya kuigwa ni Mzee wangu Mengi, the Oracle of light Industry akimiliki baadhi ya biashara za kuasili kama Bonite Bottlers (Coca Cola) na The Guardian....
Niliwahi kusikia juu ya mjasiria mali na mwana siasa mkongwe ndugu yetu Freeman, aliwahi kuasili moja ya migahawa maarufu duniani, HARD ROCK CAFE
lakini haikudumu biashara hii, sina uhakika juu ya hili, Pia kimekua na migahawa kama SUBWAY ya Uingereza,
.
STEERS hawa wa Africa ya Kusini
na sasa wamekuja pia KENTUCKY FRIED CHICKEN almaarufu kama KFC,
wapo pia wakongwe kama SPUR STAKE RANCHES,
. Je ni nini na kwa kiasi gani ufanisi wa biashara hizi za kuasili umefanikiwa hapa kwetu Tanzania? Ni wazo tu liwe la uzoefu au ushauri ni nini kifanyike? Nawasilisha.......