Ufanisi wa Biashara za kuasili (Franchise) hapa kwetu Tanzania.

Ufanisi wa Biashara za kuasili (Franchise) hapa kwetu Tanzania.

Mwanahisa

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
1,382
Reaction score
513
Hapa na pale kila uchwao naona wenye uthubutu wakiimarika, inatia moyo sana.... Pongezi kwa wale waliochagua mbio za mwendo mrefu na medani zisizotundikwa kifuani.

Wadau leo naomba mlitupie macho na mawazo swala hili la kutofanikiwa kwa baadhi ya biashara za kuasili (FRANCHISE) hapa kwetu Tanzania, hasa kwenye biashara ya migahawa. Kama tunavojua kuasili biashara ni moja ya njia kuu zakuanza na kuuigia kwenye ulimwengu huu wa biashara, moja ya mifano ya kuigwa ni Mzee wangu Mengi, the Oracle of light Industry akimiliki baadhi ya biashara za kuasili kama Bonite Bottlers (Coca Cola) na The Guardian....

Niliwahi kusikia juu ya mjasiria mali na mwana siasa mkongwe ndugu yetu Freeman, aliwahi kuasili moja ya migahawa maarufu duniani, HARD ROCK CAFE
9k=
lakini haikudumu biashara hii, sina uhakika juu ya hili, Pia kimekua na migahawa kama SUBWAY ya Uingereza,
images
.
STEERS hawa wa Africa ya Kusini
2Q==
na sasa wamekuja pia KENTUCKY FRIED CHICKEN almaarufu kama KFC,
images
wapo pia wakongwe kama SPUR STAKE RANCHES,
9k=
. Je ni nini na kwa kiasi gani ufanisi wa biashara hizi za kuasili umefanikiwa hapa kwetu Tanzania? Ni wazo tu liwe la uzoefu au ushauri ni nini kifanyike? Nawasilisha.......
 
Mkuu Ni kweli kabisa kwamba Franchise ni moja ya njia za kupata wazo la biashara na hii hutumika pale unapo amua kuomba brand ikuruhusu kutumia jina lake kwa makubalina maluumu

Na Franchising ni kitendo cha Kutumia model ya Brand iliyo fanikiwa au yenye mafanikio na CHINA inatajwa kama nchi yenye Franchising nyingi sana Duniani,

Kuna Nchi ambazo Frachising hairuhusiwi kabisa nchi kama URUSI,

FRANCHISING iko sana kwenye Mahoteli, Masuper market, Migahawa, na Maduka ya Nguo,

KWA TANZANI
- Ni kweli kwamba kuna baadhi ya watanzania ambao wanatumia hizo njia za kibiashara, katika Mahoteli na Migahawa ya chakula, Supermarket, Maduka ya Nguo na kazalika, Ila katika Orodha ya biashara za Franchising Cocacola na Peps hazimo kwa sababu wao ndo the owner wa kila kitu na wewe unaweza kuwa ni agent na nazani hata fund ya kujenga huwa some time wanafund, so wao hutafuta watu wa kusimamia biashara zao ila sio franchising

Kwa Arusha nilikuwa naona Mgahawa wa MCdonald ingawa kwa sasa umekufa na haupo kabisa, na na nazani ishu kubwa iko kufuata standard ya hawa jamaa ndo tatizo lilipo hapo, so mtu anashindwa kwa sababu ya bei, kwa sababu katika Franchising ni lazima andazi linalo pikwa na MCdonald ya USA lifanane na iliyoko Tanzania,
 
Mimi nikiongea na walt disney au dream works nikawa natafsiri animations zao kwa kiswahili ntakuwa kwenye hizo franchise
 
Mimi nikiongea na walt disney au dream works nikawa natafsiri animations zao kwa kiswahili ntakuwa kwenye hizo franchise

Mkuu sijajua hapo, Ila Franchise ina rule zake na kikubwa ni kutumia model yao kama ilivyo sasa hapo kwenye ku edit sijui, Ila jaribu kucheki nao
 
Back
Top Bottom