Ufanye nini gari yako inapofeli breki?

Ufanye nini gari yako inapofeli breki?

1) Ondoa mguu wako kwenye accelerator na Washa taa za dharura (hazard lights)

2) Pump (kwa kukanyaga na kuachia) pedal ya breki kwa haraka haraka

3) kama ulikuwa kwenye gia kubwa ipeleke haraka kwenye gia ndogo (lower gear). (Kama gari Yako ni automatic, toa gia kwenye D uipeleke kwenye S au L)

4) Gari ikipingua mwendo, vita hand brake Taratibu Taratibu hadi utakapokuwa umeivuta yote.

5) kama eneo ni baya zaidi mfano barabara yenye mteremko au Bonde, lengesha gari Yako kwenye kwenye upande Wenye sapoti ya ngema na kisha iserereshe na ukuta wa ngema.

NB, hatua zote zinapaswa kufanya kwa Kwa mfuatano na haraka huku ukiomba Dua maana uhakika wake ni 70%
Ni rahisi kiasi hicho eti eeeeeeh!!!!
 
Unapoiselelesha ukutani je abiria wa upande wako je!?
 
Trust my words, hiyo hali ikitokea hutokumbuka hata kimoja hapo.
Nilikuwa kwenye speed 80 mara paaap chupa ya maji/Uhai imenasa nyuma ya Breki pedal ikiwa na maji ndii so pedal haisogei. Sitaki ile kumbu kumbu irejee kichwan mwangu.
Any way ajali zina mengi
Chupa ya maji nyuma ya breki si ujinga wa dereva, chupa inafikajr kwenye eneo nyeti kama hilo.
 
Mimi yalishanikuta.........usiombe yakukute!
Kwenye procedure ya pili--kupump--nadhani brake master ilikuwa inafanya kazi upande mmoja--gari ikageuka.
Ni swala la sekunde mbili tu,gari iko miguu juu.Ni muhimu sana kuangalia mfumo wa brake mara kwa mara.
Ni Mungu tu!
 
Hahaaaaaa, ikawaje sasa?
ile napandisha sasa baada ya mteremko kuna kona ndio unaingia ngara mpando mwingine unaenda benako to rwanda....kuweka mguu kati breck jiwe haibonyei kha....ningekuwa nimeshiba ningekunya akili chap washa gari......ndio alhadullahi breck ikashika nkakata tona toka siku hio....gari haina breck au kupiga neutral nikaacha kabisa huo ujinga wala siwezi kuwaza hata dakika moja
 
Tulia baba ushawahi kuendesha chombo?
Inahusianaje na kuendesha chombo? Ni ujinga sawa na kugongwa gari unavuka barabara, position ya cup holder mpaka chupa inafika miguuni upo tu umekalisha kende, ataelewa asie na akili timamu au labda we gari yako chupa za maji unahifadhi kwenye floor ya gari. Yaani hapo ukifa ni UZEMBE wako.
 
Mimi sio dereva wa gari ila alichonifunza mtoa mada ni kwamba kama ulikuwa kwenye namba 2 basi hamia 3 (kama ulikuwa gia kubwa hamia ndogo)

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Back
Top Bottom