Sijawahi ingia lupangu. Japo lupango unaweza ingia hata kama huna kosa, ila namuomba Mungu aniepushe na hilo. Ee Mwenyezi Mungu ninusuru na hili jambo. [emoji120]Salaam wakuu! Ilisha wahi tokea hali ya kupelekwa polisi na mzaz wako na ukakaa lupango zaid ya wiki ukiwa mtoto let say wa miaka kama 12 hiv, ulifanyaje ili kuondokana na mawazo mabaya kwa mzazi wako, na nini kifanyike kuondoa msongo kwa mtu aliyepitia hali kama hiyo?
Kama mzazi wako asingekuhimiza kuhusu Shule basi hata hii post usinge weza kuiandika hapa,Mzazi wako alikuhimiza kuhusu elimu kwa manufaa yako.Nilikuwa nakataa shule
AmeenNa ikawe sawasawa na ombi lako
Kabla sijakujibu swali lako,Je kwa mtazamo wako unaweza mpeleka mtoto lupango kisa hataki kwenda shule?
ilikua halali yako kufungwa kama ni hivyo πππNilikuwa nakataa shule
Siyo mada ya hovyo, tuendelee kujifunza. Kwa hiyo hakuna njia nyingine sahih zaid ya kumfunza mtoto zaid ya kumpeleka selo?Kuna jamaa mmoja humu JF alikuwa annasimulia, mtoto wa mjomba wake aligoma kwenda shule akaanza kushinda mtaani anavuta bangi na wenzie, wakaanza kupora watu Mali zao Kama panyaroad, siku ya siku wameenda kupora bodaboda wamekamatwa na wananchi wamechomwa Moto na matairi, mzazi akaletewa maiti nyumbani, mzazi Kama huyo alikosea kumhurumia mwanae kutokumpeleka lupango, hujakua wewe, umekuwa mtu mzima bado unaona mzazi alikuonea, unaanza kutaka kupata huruma za Wana JF, eti msongo wa mawazo, ulitaka huo msongo wa mawazo aupate baba yako kwa kukuangalia tu unavyoharibika au? Mada ya hovyo Sana umeleta.