Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Utakuwa ulikuwa mtukutu sana ikabidi akuchimbe bati kwa faida yako.Salaam wakuu!
Ilishawahi tokea hali ya kupelekwa polisi na mzazi wako na ukakaa lupango zaidi ya wiki ukiwa mtoto let say wa miaka kama 12 hivi, ulifanyaje ili kuondokana na mawazo mabaya kwa mzazi wako, na nini kifanyike kuondoa msongo kwa mtu aliyepitia hali kama hiyo?
Kuna siku nilimkuta mzazi kamleta mwanae achimbwe bati na askari akawekwa mpaka ndani kwa sababu alikuwa hataki kwenda shule anaishia mtaani kucheza kamari