hahahaInaonyesha ni jinsi gani usovyojua udereva. Gari iko 160kph ikilia mbata utaona vumbi kisha giza ukifumbua macho mamako mzazi kashika bakuli la uji na ina drip mkono wa kushoto
Inaonyesha ni jinsi gani usovyojua udereva. Gari iko 160kph ikilia mbata utaona vumbi kisha giza ukifumbua macho mamako mzazi kashika bakuli la uji na ina drip mkono wa kushoto
Tusidanganyane kagua gari kabla ya safari. Tumia yairi sahihi. Ona hiyo tairi ya afande imebanduka utafokiri omefanyiwa retreading. Kama una safaro ndefu upepo weka 35kpa.Aiseee![emoji134] kiweka nyutro "N" ni kujiongezea hatari sababu gari litakuwa jepesi zaidi,
Kuongeza mwendo napo ni hatari maana gari itakuwa haina balance...
Kwani mtoa mada alikuambia ni tairi la gari?
... mada nyingine za ajabu sana. In short, tairi likipasuka utakuja kugundua lilipasuka a week later ukiwa umezungukwa na doctors na ndugu zako ICU; otherwise, you will never get any information about what happened for ever and ever! La muhimu omba Mungu isitokee achana na vijifomula vyako vya kijinga.Ukikutwa na hali hii tairi kupasuka usikanyage break wala kuongeza mwendo,toa mguu kwenye mafuta,fungua vioo ili gari iwe nzito
Toyota ama?😀Mercedes Benz tairi ikipasuka ikiwa kwenye mwendokasi wa 240km/h utasikia mlio tu, lakini gari haitavuta wala kupinduka wala kukudhuru.
Kilimo Kwanza Sasa......
Acha nicheke balaa la jf hili... mada nyingine za ajabu sana. In short, tairi likipasuka utakuja kugundua lilipasuka a week later ukiwa umezungukwa na doctors na ndugu zako ICU; otherwise, you will never get any information about what happened for ever and ever! La muhimu omba Mungu isitokee achana na vijifomula vyako vya kijinga.
Hii itakuwa imetengenezwa kiwanda cha Hayati ..Mercedes Benz tairi ikipasuka ikiwa kwenye mwendokasi wa 240km/h utasikia mlio tu, lakini gari haitavuta wala kupinduka wala kukudhuru.
Kilimo Kwanza Sasa......
Darasa la nne la zamani au?Tusidanganyane kagua gari kabla ya safari. Tumia yairi sahihi. Ona hiyo tairi ya afande imebanduka utafokiri omefanyiwa retreading. Kama una safaro ndefu upepo weka 35kpa.
Tairi kama kumho blacklion au kwa ujumla tairi ya uzi haifai kwa safari ndefu. Gari kama kuruza mkonga kilimo kwanza prado tumia BFG. Tizama tairi kama ina machacha ukiona machacha itoe haraka.
Viongozi wetu waepuke kuendeshwa kwa kasi. Unakimbilia wapi? Naupendaga msafara wa JPM na mama samia ni wa taratibu na wa kistaarabu. Pia prof.mihongo anapenda mwendo wa kistaarabu.
Vipi la baiskeli?!Likipasuka la pikipiki ni balaa