More ideas
Senior Member
- Jun 2, 2019
- 115
- 89
Habari mkuu,
Kwenye uzi wetu tuongelea vitu vichache:
1. Utangulizi(maana ya supplementary)
2. Hatua za kuchukua unapopata supplementary
3. Hitimisho
1. Maana ya supplementary
Supplementary ni mtihani wa marudio au nyiongeza unaopewa kufanya baada ya kutofikisha kiwango cha ufaulu kwa chuo husika.
Viwango vya ufaulu hutofautiana kutokana na chuo husika, vipo vya kuanzia(juu) ya maksi 40 na vyingine vina pass mark zao inategemea mfumo wa chuo ulivyo.
Kupata sup usijione mnyonge na kujiskia vibaya ni vitu vya kawaida kwenye kujifunza (sup siyo kilema), ni sehemu ya kusahihisha makosa yaliyojitokeza hapo awali ili kuweza kuendelea na kozi yako.
Kuna vyuo ambavyo ukipata sup kama ni core subject ukashindwa kufaulu utasubir mwaka mzima nyumbani uje ufanye tena hilo somo huku classmate wako watakuwa wapo mwaka mwingine au washamaliza kabisa.

Ufanye nini unapopata supplementary, zifuatazo ni njia za kuchukua ili uweze kujinasua au kufaulu na kuendelea na masomo yako vizuri;
A. kubaliana na matokeo; Hii ni hatua ya kwanza unapopata sup (kimeo au kuliwa kichwa) inabidi ukubali kuwa hicho ndo ulichokipata tuliza akili(relax) huenda uliweka matarajio makubwa na kilichokuja ni tofauti hivyo usivunjike moyo bado una nafasi ya kusahihisha pale ulipoteleza.
B.Mshukuru Mungu; kila mtu ana imani yake chochote kinachotokea kwenye maisha yako kiwe kizuri au kibaya unachotakiwa ni kumshukuru na kuweza kumuomba ili akuepushe na vitu vibaya.
C.Andaa notsi za somo husika; kosa ambalo hutakiwi kufanya ni kufuta notsi au kutupa(kupoteza), mitihani yako kama test, quiz na assignment zote hakikisha unazihifadhi, ziandae notsi zako kwa ajili ya kuweza kurejea vitu ambavyo ulivyovisoma muda utakao panga kusoma.
Zipo changamoto mbalimbali za wanafunzi au wanachuo kupoteza notsi ninachokushari hifadhi notsi zako kwenye email yako ikitokea umepoteza kifaa chako unachotumia kusomea(simu,pc au kishkwambi) unaweza kizipata tena utakapo login kwenye e mail account yako au unaweza kuomba kwa wanafunzi wenzako ila muhimu ni kuzihifadhi kwenye email yako.
D.Anzisheni group discussion; tunaamini au tunakubaliana kwenye wengi hapaharibika kitu, Baada ya kumaliza final exam watu wengi hurudi majumbani kwao kwa wale wabishi au wazee wa fursa huendelea kukaa huku wakiendelea na harakati za utafutaji wa kipato, kutatua changamoto hii mnaweza kuanzisha group la whatsapp ambalo mtalitumia kudiscuss hiyo course kwa kusolve maswali ya kwenye mitihani mbalimbali. Ila hapa kuna changamoto kwa wanachuo wengine wanakaa vijijini ambako kuna shida ya mtandao(internet) .
E.Wahi chuoni mapema ukakamilishe utaratibu; Ni jambo la muhimu kuwahi eneo la tukio mapema linakuongezea utulivu kwa kuwa utakuwa umekamilisha mambo yote ya muhimu yanayo hitajika ili kuweza kufanya huo mtihani wa marudio (supplementary) kama kulipia kwa baadhi ya vyuo mitihani ya sup inalipiwa na vyengine ni bure kabisa.
Kama upo mbali na chuo jitahidi uwahi angalau wiki moja kabla ya mtihani, kuna mtu ataniuliza nikiwahi ntaenda kuishi vipi? Unanakiwa ujipange uwe na kiasi cha fedha ambacho kitakuwezesha kumudu hizo siku ulochotunza kutoka kwenye boom kama huna jitahidi kufanya kila linalowezekana ili kupata kiasi hicho, ni rahisi sana kusoma ukiwa karibu na chuo wengine nyumbani mazingira siyo rafiki sana kwa kujisomea.
F. Soma; ili uweze akufaulu mtihani basi soma,soma alafu soma tena ukiamka soma ukila soma ukilala soma namaanisha panga ratiba yako nzuri kwa lengo la kujisomea.
Hii ndo njia pekee unaweza kutoboa nayo japo kuna baadhi ya misemo wanasema mambo yanazungumzika (lecture nae binadamu) lakini wewe soma bila kusoma unaweza ukapoteza utu wako na ya nini kutia huruma au kufanya vitu vya ajabu ili ipewe maksi za bure (inasemekana) ila tumeona baadhi ya wafanyakazi au wakufunzi wakisimamishwa kwa sababu ya kuwalaghai wanafunzi(wanachuo) panga ratiba zako vizuri unaweza ukawa na supplementary au special zaidi ya moja na ukazichomoa, jitahidi kusoma na kuelewa ili ukajibu mtihani wako ndo elimu yetu ipo hivyo.
G. Fahamu mahali (venue) na muda ambao mtafanya mtihani; baada ya kuwa umeshajaandaa vya kutosha bila kufahamu ratiba ya mtihani wako ni kazi bure ni sawa na kupambana na adui ambaye humjui.
Ingia kwenye website ya chuo mara kwa mara ratibq ya mtihani wako unaotakiwa kuufanya, ni lazima ujue muda na mahali(venue) maana huenda ratiba ikabadilika bila ya wewe kujua ukiwa kama msomi unatakiwa kuwa updated mara kwa mara uweze kufahamu ni vitu gani vinavyoendelea au kufanyiwa mabadiliko
3.Hitimisho
Siyo kila aliepata supplementary alifeli kunaweza kukawa kumetokea makosa kwenye ujazaji wa maksi kwenye mfumo wa matokeo(Aris, Mu Arms n.k) kama unaona ulikuwa na matokeo makubwa kwenye course work na ukapata sup unaweza ukafata utaratibu wa kuappeal ili wajiridhishe na malalamiko ni sahihi au siyo sahihi, ila ukipata sup ni bora ukaifanya kuliko kuappeal maana mpaka matokeo yatolewe yanakuwa yamekaguliwa kwa kina hivyo nafasi ya kuchomoka inakuwa ndogo mno, yapo baadhi ya malalamiko vyuoni kuwa baadhi ya wakufunzi wanawataka wanafunzi kingono usipomkubalia anaweka bifu na mwanafunzi au wanafunzi wa programme hiyo kwenye kozi yake.
Naiomba mamlaka inayohusika na vitendo hivi vichafu iweke watumishi ifanye vetting kwenye kila chuo ili kupambana na kutokomeza vitendo hivyo tuweze kujenga wasomi imara kwa taifa letu tupate maendeleo.
Naomba kura yako
Author; ABDALLAH A MOHAMMED
Carrier: Economist- population and development
E mail: Abdallahmohamed_01@yahoo.com

Upvote
5