Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Hili ni wazo tu,mamlaka zetu tukufu zione jinsi gani tutaweza kujiunga mitandaoni kwa kutumia NIDA namba,and then mtandao wenyewe uka translate jina la muhusika halisi hii itasaidia sana kuwabaini wale wote waovu wa taifa letu,bila shaka nchi nyingi sana zitaiga hili wazo kwetu Tanzania,
Thank all.
#Tuzuie mitandao kuwa chanzo cha uchochezi na matusi ya hovyo!
#Faida zake ni rika la watoto wetu litasalimika pia kwa ya hovyo!..
Thank all.
#Tuzuie mitandao kuwa chanzo cha uchochezi na matusi ya hovyo!
#Faida zake ni rika la watoto wetu litasalimika pia kwa ya hovyo!..