Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
well done gentleman, good ideaHili ni wazo tu,mamlaka zetu tukufu zione jinsi gani tutaweza kujiunga mitandaoni kwa kutumia NIDA namba,and then mtandao wenyewe uka translate jina la muhusika halisi hii itasaidia sana kuwabaini wale wote waovu wa taifa letu,bila shaka nchi nyingi sana zitaiga hili wazo kwetu Tanzania,
Thank all.
#Tuzuie mitandao kuwa chanzo cha uchochezi na matusi ya hovyo!
#Faida zake ni rika la watoto wetu litasalimika pia kwa ya hovyo!..
Ha ha ha, Innovation wale wa 🗣️ watakaa kimyaaaa.well done gentleman, good idea
mnoooooo yaani dahHa ha ha, Innovation wale wa 🗣️ watakaa kimyaaaa.
Wauwaji ni chadema,jinsi mlivyo jioganize kila pembe ya nchi mkidhamiria kuiba na kuchoma nchi,hivi serekali ingelala leo hii tungekuwa na nchi hii.Pale wauwaji mnapokuja na ujinga
Nyapara unaona kama bado hujatawaliwa vizuri ondoka jamiiforum ukatumie majina yako magazetiniHili ni wazo tu,mamlaka zetu tukufu zione jinsi gani tutaweza kujiunga mitandaoni kwa kutumia NIDA namba,and then mtandao wenyewe uka translate jina la muhusika halisi hii itasaidia sana kuwabaini wale wote waovu wa taifa letu,bila shaka nchi nyingi sana zitaiga hili wazo kwetu Tanzania,
Thank all.
#Tuzuie mitandao kuwa chanzo cha uchochezi na matusi ya hovyo!
#Faida zake ni rika la watoto wetu litasalimika pia kwa ya hovyo!..
Hivi mpango wa jamii number uliishia wapiHili ni wazo tu,mamlaka zetu tukufu zione jinsi gani tutaweza kujiunga mitandaoni kwa kutumia NIDA namba,and then mtandao wenyewe uka translate jina la muhusika halisi hii itasaidia sana kuwabaini wale wote waovu wa taifa letu,bila shaka nchi nyingi sana zitaiga hili wazo kwetu Tanzania,
Thank all.
#Tuzuie mitandao kuwa chanzo cha uchochezi na matusi ya hovyo!
#Faida zake ni rika la watoto wetu litasalimika pia kwa ya hovyo!..
Je, Polepole alikua anatukana? Mbona walimchukua?Ha ha ha, Innovation wale wa 🗣️ watakaa kimyaaaa.
Waovu wanafanya matendo yapi mkuu?Hili ni wazo tu,mamlaka zetu tukufu zione jinsi gani tutaweza kujiunga mitandaoni kwa kutumia NIDA namba,and then mtandao wenyewe uka translate jina la muhusika halisi hii itasaidia sana kuwabaini wale wote waovu wa taifa letu,bila shaka nchi nyingi sana zitaiga hili wazo kwetu Tanzania,
Thank all.
#Tuzuie mitandao kuwa chanzo cha uchochezi na matusi ya hovyo!
#Faida zake ni rika la watoto wetu litasalimika pia kwa ya hovyo!..