Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
Tabia za wafaransa daima ni kuwatega binadamu wenzao watende ambacho ni kwa faida zao kwa kwango cha kuwadhalilisha bila kujali ubaya wake. Hata majaribio ya chanjo za corona walitaka zifanywe kwa waafrkia wenye rangi nyeusi.
Sasa waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Jean-Noel Barrot amesema wiki ijayo mataifa ya kiarabu yatatoa tamko la kuilaani Hamas na kuitaka isalimishe silaha zao ili wao waltambue rasmi taifa la Palestina.
Katika mahojiano yake na vyombo vya habari waziri huyo amefichua siri kuwa mpango huo walikuwa wameufanya zamani na Saudi Arabia. Amesema mataifa ya kiarabu yakifanya hivyo itakuwa ndio ufungua wa mataifa yaliyobaki ya Ulaya kuitambua Palestina
Kwa msimamo huu wa Ufaransa wanachokifanya ni kuisaidia Israel kuendeleza unyama wake na wala si kulitambua taifa la kipalestina kiuhakikia.
Kwa uapnde wa mataifa ya kiarabu kufanya hivyo kutadhihirisha kiwango kikubwa cha kurudi nyuma kiimani ya kiislamu na kiwango cha uduni wa kiakili kiasi cha kukokotwa kama wanayama kwenye matakwa ya watu wasiowapendelea kheri.
Kwa kitendo cha Hamas kujaribu kurudisha ardhi zao zilizoporwa na kutangaza kuulinda msikiti mtakatifu wa AlAqswa wala hawawezi kulaumiwa.
Kufanya hivyo kwa mataifa ya kiarabu baada ya kushindwa kuinua silaha zao dhidi ya Israel na kutoa matamko halisi ya kuilaani Israel kwa kuvunja majumba karibu yote ya Gaza na kuua watu watu wanaoweza kuunda taifa zima pamoja na kuua kwa kuwanyima chakula. Hicho kitakuwa ni kiwango kikubwa cha uduni kwa waarabu.
Wakitoa matamko hayo waarabu watakuwa wamejitangaza wazi wazi kuwa wao wanastahiki ghadhabu za muumba wao kwa makosa yao. Kama wameshindwa kuchukua hatua stahiki kwa dhulma dhidi ya ndugu zao ni afadhali wakae kimya tu wasiburi kitakachowakuta huko mbeleni.