Ufaransa ili kuitambua Palestina yazitaka nchi za kiarabu kuwalaani Hamas, Na kwa ujinga wao watafanya

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Tabia za wafaransa daima ni kuwatega binadamu wenzao watende ambacho ni kwa faida zao kwa kwango cha kuwadhalilisha bila kujali ubaya wake. Hata majaribio ya chanjo za corona walitaka zifanywe kwa waafrkia wenye rangi nyeusi.

Sasa waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Jean-Noel Barrot amesema wiki ijayo mataifa ya kiarabu yatatoa tamko la kuilaani Hamas na kuitaka isalimishe silaha zao ili wao waltambue rasmi taifa la Palestina.

Katika mahojiano yake na vyombo vya habari waziri huyo amefichua siri kuwa mpango huo walikuwa wameufanya zamani na Saudi Arabia. Amesema mataifa ya kiarabu yakifanya hivyo itakuwa ndio ufungua wa mataifa yaliyobaki ya Ulaya kuitambua Palestina

Kwa msimamo huu wa Ufaransa wanachokifanya ni kuisaidia Israel kuendeleza unyama wake na wala si kulitambua taifa la kipalestina kiuhakikia.

Kwa uapnde wa mataifa ya kiarabu kufanya hivyo kutadhihirisha kiwango kikubwa cha kurudi nyuma kiimani ya kiislamu na kiwango cha uduni wa kiakili kiasi cha kukokotwa kama wanayama kwenye matakwa ya watu wasiowapendelea kheri.

Kwa kitendo cha Hamas kujaribu kurudisha ardhi zao zilizoporwa na kutangaza kuulinda msikiti mtakatifu wa AlAqswa wala hawawezi kulaumiwa.

Kufanya hivyo kwa mataifa ya kiarabu baada ya kushindwa kuinua silaha zao dhidi ya Israel na kutoa matamko halisi ya kuilaani Israel kwa kuvunja majumba karibu yote ya Gaza na kuua watu watu wanaoweza kuunda taifa zima pamoja na kuua kwa kuwanyima chakula. Hicho kitakuwa ni kiwango kikubwa cha uduni kwa waarabu.

Wakitoa matamko hayo waarabu watakuwa wamejitangaza wazi wazi kuwa wao wanastahiki ghadhabu za muumba wao kwa makosa yao. Kama wameshindwa kuchukua hatua stahiki kwa dhulma dhidi ya ndugu zao ni afadhali wakae kimya tu wasiburi kitakachowakuta huko mbeleni.

French official tells paper Arab countries will condemn Hamas, trying to get Palestinian statehood recognized​

 
Kila wanachokifanya wazungu ni lazima maslahi yao na wenzao wa karibu wayaweke mbele.
Yaani shida za wapalestina hawajaona zinashtahiki kutambuliwa kwa taifa lao bila kuweka maslahi yao mbele kwanza.
 
Kurudi nyuma kidini unamaanisha nini!? Kwamba Shia na Sunni wamewahi kuwa kitu kimoja!!!!?????
NB: Tuwaombee waislam wenzetu wanaopigana wenyewe kwa wenyewe bila kuchonganishwa na mzungu huko Sudan, Somalia, Libya, Yemen n.k
 
Kurudi nyuma kidini unamaanisha nini!? Kwamba Shia na Sunni wamewahi kuwa kitu kimoja!!!!?????
NB: Tuwaombee waislam wenzetu wanaopigana wenyewe kwa wenyewe bila kuchonganishwa na mzungu huko Sudan, Somalia, Libya, Yemen n.k
Una uhakika gani kuwa hawachonganishwi na wazungu.
 
kwani Hamas wamepewa hiyo dhamana na nani kulinda huo msikiti wa alqsa ?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
hamas wamefanyaje?
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Kuwatetea warabu inabidi uwe mjinga wa phd kwasababu
@ ni wanafiki sana. Mtu mnafiki haaminiki kwa namna yoyote ile

@ Dini yao. Imewafanya kuwa wafia dini zaidi hata kwa mambo ambayo yanahitaji common sense

@ kufa kwao ni bora zaidi kuliko kuishi, hawajali ubinadam wao na wawengine.

Kinachoendeleo Gaza ni matokeo ya kuwakumbatia magaidi.
 

French FM condemns ‘despicable, unbearable’ images of emaciated hostages​

Today, 11:02 pm

France’s Foreign Minister Jean-Noël Barrot rails against the “despicable, unbearable” images of Israeli hostages held by Hamas and other Gazan terror groups, and demands their unconditional release.
“Their ordeal must end,” he writes on X in both French and Hebrew. “They must be released, unconditionally.”
“Hamas must be disarmed and excluded from governing Gaza,” he says, adding that, at the same time, humanitarian aid must be allowed to enter the war-torn enclave “on a massive scale.”
 
Nyinyi ndiyo takataka za uislamu, akili hakuna humo kichwani umekomalia tu oh ni mujibu wa kila muislamu kutetea Gaza! Mijitu inawaweka rehani wananchi wao ili mradi tu ibaki madarakani! Halafu ujue hicho mnachodai iati msikiti mtakatifu wa Al Aqsa, hamna hiyo kitu. Mlidanganywa nanyi mkakubali kuwa ati hapo ndipo Momo Paedophile alipaa mbinguni. Wakati Momo hajafa wala hakukuwa na msikiti hapo. Msikiti uliopo ulimaliziwa kujengwa 705 AD
 
Kilichomuuma yeye ni huyu yahudi mmoja tu kukonda.Hajaona vibaya kwa watu wanaoendelea kupukutika Gaza kote pamoja na kuuliwa kwa risasa kwenye mtego wa chakula.
Nilisema zamani Ufaransa si wa kuaminika.Wako bega kwa bega na Israel ili kuwamaliza wapalestina,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…