Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Wafaransa washenzi sana, walipoitawala Mali waliamua kufanya majaribio yao ya nyuklia kwenye ardhi ya Algeria miaka ya 1960s ili athari zitakazotokana na nyuklia ziwaathiri waafrika tu.
Yaani majaribio wafanye kwa faida ya Ufaransa, lakini madhila ya miaka na miaka hadi kesho yaendelee kuwaandama waafrika waishio Algeria.
Halafu utasikia waFaransa wa Ununio wanakuja hapa kutokwa na povu wakiwatetea waFaransa wenzao wa Ufaransa waliofanya ushenzi huo.
===========