Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Misaada kwa maneno tu! Hatutarudisha na riba juu? Hatupewi kwa masharti? Unafikiri kati yao na sisi nani mwenye kupata faida zaidi? Unafikiri ni kwanini westerners wanatumia nguvu kubwa sana kutuaminisha (Waafrika) kwamba mikopo kutoka Asia ni hatari kwetu na hatufai kuichukua? This is business wanagombania soko mnunuzi ndio sisi.Mtu mzima hajambi kaka.
40% ya bajeti ya nchi yako ni mikopo na misaada ya westerns. hata wafanye majaribio ya kulipua Ikulu za Africa ni sawa tu.
Cha msingi watupe taarifa tu sie tupo tayari baba. Ubongo ushaoza huu, we ulisha sikia hata hao waalgeria wakilaani hayo majaribio.
tunawaongelea shits mitandaoni lakin tunawafata uwani kuwaomba radhi na kuwapiga vizinga.
kataa uone.