Ufaransa: Marubani wasimamishwa kazi kwa kupigana wakiwa angani

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Shirika la Ndege la Ufaransa, limewasimamisha kazi marubani wake wawili wa Air-France kwa kosa la kupigana wakati wakirusha ndege ya Airbus A320 kutoka Geneva kwenda Paris mwezi Juni.

Wafanyakazi wengine waliingilia kati ugomvi baada ya kusikia kelele ambapo waliamua kuwatenganisha vyumba tofauti na rubani mmoja alirusha ndege hiyo hadi ilipotua salama.

Ripoti ya Bodi ya Shirika la Uchunguzi wa Anga la Ufaransa (BEA) ilionesha kuwa baadhi ya marubani wa Air France hawana ustaarabu na pia hawaheshimu Itifaki za Usalama.

===========================

Two Air-France pilots have been suspended after a physical altercation in the cockpit, reports say.

The pilot and co-pilot exchanged blows as they flew an Airbus A320 from Geneva to Paris in June, Swiss news outlet La Tribune said.

Members of the cabin crew intervened after hearing the noise. One crew member stayed in the cockpit until the flight landed safely.

The incident did not affect the flight, the airline told La Tribune.

The incident comes after a report published by France's air investigation body on Tuesday said that the airline had a culture which lacked rigour when it came to safety procedures.

BBC
 
Yalikua yanachomana na pen kama wanafunzi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom