Ndio maana nasema acheni kujistress kulipa mamilioni shule za EM. Haya Sasa twende Kazi, kimbia haraka Sana Hadi kwenye shule ya EM kamchukue mtoto wako umrudishe KayumbaKumbe wajinga wametapakaa duniani kote! Na hivyo kumbe siyo nchini kwetu tu.
Huyu biboe mjinga kweli, inaonyesha grass ins not green on the other side ( mistake ambayo wanawake wengi wanafanya, but wana find out too late)View attachment 3201914
View attachment 3201916
Mwanamke mmoja Mfaransa alitapeliwa zaidi ya $800K na mtu aliyejifanya kuwa Brad Pitt. Walikutana na tapeli huyo Instagram na kumshawishi kwa video na picha zilizohaririwa na kuzalishwa na AI
Tapeli huyo alimshawishi kuwa akaunti zake za benki zilifungwa kwa sababu ya talaka yake na Angelina Jolie na kwamba alihitaji pesa kwa ajili ya upasuaji wa figo.
Alikuja kugundua kuwa ilikuwa ni pitt wa bandia wakati alipuona Brad Pitt kwenye habari na mpenzi wake mpya.
Kazi ipo 😅😅😅View attachment 3201914