Serikali ya Ufaransa imeandaa mtego maalum wa kukamata wahamiaji haramu kwa kuning'niza watoto wanasesere kwenye milingoti ya magorofa ili wahamaaji hao wajitokeze kwa minajili ya 'kuwanasua watoto hao' na KUDAKWA KIRAHISI
Yasemekana wahamiaji wengi haramu na hasa vijana wameanza mitindo ya kupita majiani huku wanaangalia juu ili waone kama kuna 'mtoto' wa kumuopoa na Serikali nayo imekuja kivingine kwa tego hilo hilo
Mtego huu unakuja baada ya kugundulika njama za wahamiaji haramu ambao wameamua 'KUTENGENEZA MATUKIO' ya kuokoa watoto ili nao WAFIKIRIWE Kama Aboubakar