Ufaransa nayo yaandaa mtego kwa wahamiaji haramu

Ufaransa nayo yaandaa mtego kwa wahamiaji haramu

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
MTEGO KWA WAHAMIAJI HARAMU UFARANSA
33784841_10216803354501376_2234969499004567552_n.jpg


Serikali ya Ufaransa imeandaa mtego maalum wa kukamata wahamiaji haramu kwa kuning'niza watoto wanasesere kwenye milingoti ya magorofa ili wahamaaji hao wajitokeze kwa minajili ya 'kuwanasua watoto hao' na KUDAKWA KIRAHISI
33965481_10216803354821384_238732441433407488_n.jpg

Yasemekana wahamiaji wengi haramu na hasa vijana wameanza mitindo ya kupita majiani huku wanaangalia juu ili waone kama kuna 'mtoto' wa kumuopoa na Serikali nayo imekuja kivingine kwa tego hilo hilo
33827363_10216803355181393_3887966922196647936_n.jpg

Mtego huu unakuja baada ya kugundulika njama za wahamiaji haramu ambao wameamua 'KUTENGENEZA MATUKIO' ya kuokoa watoto ili nao WAFIKIRIWE Kama Aboubakar
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahahahahaaaa

ukiwa hauko kwenu uta tritiwa kwa dhihaka kama kinyago cha mpapule
 
Back
Top Bottom