Ufaransa pia kutuma vifaa vya kuzuia mabomu ya Urusi yanayotupwa uraiani

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hii yote ni kwa ajili ya kuzuia mashambulizi ya Putin ya mabomu anayopiga hadi bembea za watoto, ameikimbia frontline kaenda kushambulia makazi ya watu.

Nchi yote ikilindwa vizuri dhidi ya haya mashambulizi, mapigano yatandelea vyema frontline kule ambako anapokea kichapo balaa.

French President Emmanuel Macron says France will supply air-defense systems to Ukraine following a wave of air strikes by Russia this week that he said aimed "to shatter Ukrainian resistance."

France will deliver radars, systems, and missiles in the coming weeks to protect Ukraine from the attacks, Macron said on October 12, adding that France was also negotiating to send six Caesar mobile artillery units to Ukraine.

Speaking to broadcaster France 2, he reiterated that he reached an agreement that the Caesars, which were manufactured for Denmark, will be redirected to Ukraine.

He also said the war had entered "an unprecedented stage" since the weekend.

"This is a new phase of bombing coming from land, sea, air, and drones against essential infrastructure and civilians," Macron said.

Macron repeated that he believes a negotiated settlement between Ukraine and Russia would happen at some point to end the conflict, but it must be on Kyiv's terms.

"Today, first of all, Vladimir Putin must stop this war, respect Ukraine's territorial integrity, and come back to the table for talks," Macron said.

Macron also said he believes Kyiv will have to negotiate with Putin at some point despite Ukrainian President Volodymyr Zelenskiy saying he refused to do so.

MSN
 
Shtukeni wadau hili lijitu linalipwa pesa na NATO & EU kueneza propaganda za vita baina ya RUSSIA na UKRAINE, haiwezekani kila sekunde ni kuleta habari za kiduwanzi tu humu JF hata kama hakuna aliye mkamilifu lakini huu ni zaidi ya ukichaa..[emoji87]

Ha ha ha!! safi sana....Mpaka mtaita maji ma...
Sikirimimimasikini njoo huku umfariji mvaa kobaz mwenzako huyu... Takbirr
 
Hii yote ni kwa ajili ya kuzuia mashambulizi ya Putin ya mabomu anayopiga hadi bembea za watoto, ameikimbia frontline kaenda kushambulia makazi ya watu.
Nchi yote ikilindwa vizuri dhidi ya haya mashambulizi, mapigano yatandelea vyema frontline kule ambako anapokea kichapo balaa...

French President Emmanuel Macron says France will supply air-defense systems to Ukraine following a wave of air strikes by Russia this week that he said aimed "to shatter Ukrainian resistance."

France will deliver radars, systems, and missiles in the coming weeks to protect Ukraine from the attacks, Macron said on October 12, adding that France was also negotiating to send six Caesar mobile artillery units to Ukraine.

Speaking to broadcaster France 2, he reiterated that he reached an agreement that the Caesars, which were manufactured for Denmark, will be redirected to Ukraine.

He also said the war had entered "an unprecedented stage" since the weekend.

"This is a new phase of bombing coming from land, sea, air, and drones against essential infrastructure and civilians," Macron said.

Macron repeated that he believes a negotiated settlement between Ukraine and Russia would happen at some point to end the conflict, but it must be on Kyiv's terms.

"Today, first of all, Vladimir Putin must stop this war, respect Ukraine's territorial integrity, and come back to the table for talks," Macron said.

Macron also said he believes Kyiv will have to negotiate with Putin at some point despite Ukrainian President Volodymyr Zelenskiy saying he refused to do so.

MSN
Kumekuwa na tuhuma za Ukraine kutumia raia wake human shield. Yaani Ukraine wanapigana vita kama Al Shabab, wanajichanganya kwa raia. Ulioanaga wapi mambo unaochagua kuwalinda raia tu. Yaani bomb likitumwa kwa wanajeshi linashuka, lakini likitumwa kwa raia linazuiliwa? 🚮

Ni kwamba wanaotandikwa ni askari walioficha vifaa vyao kwenye maeneo ya umma na makazi ya watu. Russia sio wapumbafu hadi wake raia. Vita ilivyoanza, ni Russia ndiyo aliefungua milango ya kuwasaidia Raia waliokuwa wanakimbia vita huku Ukraine ikigoma kufanya hivyo. Muwe mnaweka kumbukumbu vizuri katika sehemu ya kuweka kumbukumbu sio kuzihamishia kwenye masaburi kama wanavyofanya NATO.
 
Shtukeni wadau hili lijitu linalipwa pesa na NATO & EU kueneza propaganda za vita baina ya RUSSIA na UKRAINE, haiwezekani kila sekunde ni kuleta habari za kiduwanzi tu humu JF hata kama hakuna aliye mkamilifu lakini huu ni zaidi ya ukichaa..[emoji87]
sijaona hoja ya kuthibitisha huu uzi kuwa kiduwanz , kwasabab hiyo napenda kukuita ww ndo mduwaz
 
Kumekuwa na tuhuma za Ukraine kutumia raia wake human shield. Yaani Ukraine wanapigana vita kama Al Shabab, wanajichanganya kwa raia. Ulioanaga wapi mambo unaochagua kuwalinda raia tu. Yaani bomb likitumwa kwa wanajeshi linashuka, lakini likitumwa kwa raia linazuiliwa? [emoji706]

Ni kwamba wanaotandikwa ni askari walioficha vifaa vyao kwenye maeneo ya umma na makazi ya watu. Russia sio wapumbafu hadi wake raia. Vita ilivyoanza, ni Russia ndiyo aliefungua milango ya kuwasaidia Raia waliokuwa wanakimbia vita huku Ukraine ikigoma kufanya hivyo. Muwe mnaweka kumbukumbu vizuri katika sehemu ya kuweka kumbukumbu sio kuzihamishia kwenye masaburi kama wanavyofanya NATO.
Kwan Urusi ndan ya kiev alifuata nn ? anaua na kuiba pia anabaka raia , halaf ww bado u.amtetea kwa ukatili huo , nyiny wavaa kobaz mna mtindio wa ubongo kbs na ndio maana nchi zenu zinaongoza kwq ugaid sabab vichwa maji
 
Shtukeni wadau hili lijitu linalipwa pesa na NATO & EU kueneza propaganda za vita baina ya RUSSIA na UKRAINE, haiwezekani kila sekunde ni kuleta habari za kiduwanzi tu humu JF hata kama hakuna aliye mkamilifu lakini huu ni zaidi ya ukichaa..[emoji87]
Shtuka wewe Acha Sisi wengine tuendelee kusoma posts zake
 
Kumekuwa na tuhuma za Ukraine kutumia raia wake human shield. Yaani Ukraine wanapigana vita kama Al Shabab, wanajichanganya kwa raia. Ulioanaga wapi mambo unaochagua kuwalinda raia tu. Yaani bomb likitumwa kwa wanajeshi linashuka, lakini likitumwa kwa raia linazuiliwa? 🚮

Ni kwamba wanaotandikwa ni askari walioficha vifaa vyao kwenye maeneo ya umma na makazi ya watu. Russia sio wapumbafu hadi wake raia. Vita ilivyoanza, ni Russia ndiyo aliefungua milango ya kuwasaidia Raia waliokuwa wanakimbia vita huku Ukraine ikigoma kufanya hivyo. Muwe mnaweka kumbukumbu vizuri katika sehemu ya kuweka kumbukumbu sio kuzihamishia kwenye masaburi kama wanavyofanya NATO.

Ahhaaa wapi, uwakute watu kwenye nchi yao na kupiga bembea za watoto mabomu halafu uanze kulalamika "human shield", mbona mlishindwa kupiga military barracks na mnajua zilipo, of-course mizinga yote iliyojaribu kupiga maeneo ya kijeshi ilipanguliwa yote, aibu sana.
 
Naona umeanza kufuatilia huu mgogoro jana ama unajitoa tu akili.
 
Shtukeni wadau hili lijitu linalipwa pesa na NATO & EU kueneza propaganda za vita baina ya RUSSIA na UKRAINE, haiwezekani kila sekunde ni kuleta habari za kiduwanzi tu humu JF hata kama hakuna aliye mkamilifu lakini huu ni zaidi ya ukichaa..[emoji87]
"No nation has the right to make decisions for another nation; no people for another people."

Julius Kambarage Nyerere

Ujumbe wa Mwalimu kwa Vlad
 
Kwan Urusi ndan ya kiev alifuata nn ? anaua na kuiba pia anabaka raia , halaf ww bado u.amtetea kwa ukatili huo , nyiny wavaa kobaz mna mtindio wa ubongo kbs na ndio maana nchi zenu zinaongoza kwq ugaid sabab vichwa maji
Kati ya ugaidi na kufanya harakati za kufumuliwa choo kipi bora ndugu. Mwenzetu huoni shida kuchokonolewa shimo la kutolea takamwili.
 
Shtukeni wadau hili lijitu linalipwa pesa na NATO & EU kueneza propaganda za vita baina ya RUSSIA na UKRAINE, haiwezekani kila sekunde ni kuleta habari za kiduwanzi tu humu JF hata kama hakuna aliye mkamilifu lakini huu ni zaidi ya ukichaa..[emoji87]

Kinacho shangaza zaidi ukiangalia alicho buni na kuandika mwenye, halafu ukalinganisha na kile alicho copy unakuta ni vitu viwili tofauti kabisa kama kulinganisha mbingu na Dunia!!!

Uzuri ni kwamba: Lengo lake kuu linajulikana, watu wanamstahi tu kwa kumpatia kamba ndefu ili ajimalize mwenyewe - ni suala la muda tu, lakini current events zinavyo kwenda huko Ukraine atakuja kuhumbuka mchana kweupe, lililopo tuombe uhai.
 
Kinacho shangaza zaidi ukiangalia alicho buni na kuandika mwenye, halafu ukalinganisha na kile alicho copy unakuta ni vitu viwili tofauti kabisa kama kulinganisha mbingu na Dunia!!!

Uzuri ni kwamba: Lengo lake kuu linajulikana, watu wanamstahi tu kwa kumpatia kamba ndefu ajimalize ili ajimalize mwenyewe - ni suala la muda tu lakini current events zinavyo kwenda huko Ukraine atakuja kuhumbuka mchana kweupe, lililopo tuombe uhai.

Halafu wewe mvaa kobaz wa Bongo nilikuambia nitakuumbua na zile propaganda zako za kusema Zelensky ameikimbia Ukraine na kutorokea Poland, leo Zelensky amehutubia akiwa Kyev, mtakoma na hayo mapropaganda yenu mkiwa na yule mvaa kobaz mwenzio Trubarg ...ha ha ha!!!
 
VIGAIDI acha viuliwe tu
Vikikua vitasumbua sana hii DUNIA

PUT IN kaumbwa kuja kuinusuru DUNIA na UGAIDI

mnadhani kisa vitoto ndio vitaachwa vikue VIGAIDI

PUT IN ponda ponda tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu wewe mvaa kobaz wa Bongo nilikuambia nitakuumbua na zile propaganda zako za kusema Zelensky ameikimbia Ukraine na kutorokea Poland, leo Zelensky amehutubia akiwa Kyev, mtakoma na hayo mapropaganda yenu mkiwa na yule mvaa kobaz mwenzio Trubarg ...ha ha ha!!!

How old are you by the way?? Wakati mwingine analytical mind yako inaonekana niya kitoto toto mno!! Please revisit your skewed comments herein what do they tell you?? Nimesema nini umejibu nini!!
 
Unaposema kifaa sidhani sana kama upo sahihi.

Unapaswa kusema mfumo kwa sababu una interconnected components ambazo zinafanya kazi kwa pamoja kufanikisha lengo fulani.
 
Shukrani ila kumbuka hata kifaa ni muunganiko wa components, kwa mfano computer ni kifaa chenye muunganiko wa components.
 
How old are you by the way?? Wakati mwingine analytical mind yako inaonekana niya kitoto toto mno!! Please revisit your skewed comments herein what do they tell you?? Nimesema nini umejibu nini!!

Mimi nimeshindikana kwa waarabu asili kule Quora sembuse nyie waarabu wa kuiga hapo Bongo....takbirr
 
Back
Top Bottom