Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Halafu wewe mvaa kobaz wa Bongo nilikuambia nitakuumbua na zile propaganda zako za kusema Zelensky ameikimbia Ukraine na kutorokea Poland, leo Zelensky amehutubia akiwa Kyev, mtakoma na hayo mapropaganda yenu mkiwa na yule mvaa kobaz mwenzio Trubarg ...ha ha ha!!!
Kitu cha kwanza Trubarg ni msomi, actually reading between the lines is a technical oriented GURU, anazungumza mambo kiufundi kwa lengo la kuelimisha watu, hata tunapo pata taarifa kwamba Ikulu ya Zelensky na Ofisi nyeti za Serikali zimetiwa kiberiti na formidable missiles za Putin bila kizuizi tunajua ni kwa nini Missiles za Putin zime fanikiwa ku hit BULLS EYE, lakini mwezetu badala ya kutafakari mambo ya hitech huko buzy ukijaribu ku-derail mada nzima kwa kutumbukiza story za kitoto na mipasho ya kijinga.