#COVID19 Ufaransa: Raia kuhitaji kibali maalum kwenda migahawani, baa n.k

Tunaishuhudia mbele ya macho yetu! .?akini haya ni maandalizi tu ya ujio wa mpinga Kristo. Bado yupo azuiaye yaani kanisa la Mungu! Ka isa la Mungu (watu waliookoka) liki yakuliwa tu, watakaobaki ni kilio na kusaba meno!
Kinachozuia Ni kila mtu apate habari njema kwanza. Unyakuo Ni baada ya chapa mkuu. Kasome vizuri Mathayo na Ufunuo
 
Hapo mwisho sawa Ila kwenye chukizo la uharibifu sicho hicho unachoongelea. Chukizo la uharibifu Ni kitu kingine. Sina Daniel vizuri
 
C= 3? In which language?
 
Ngoja tuanze kutunza vyakula na kulima bustani na kuchimba visima ili huyu mpinga Kristo akianza tuwe self sufficient!
Hahahaha mkuu relax. Bado Sana mpaka siku utakapoona Marekani imesaliti Israel
 
Hakika mkuu, hii nayo ni fursa ya kuichangamkia kutengeneza vyeti feki
 
666 itakuja baada ya Yesu kunyakuwa watu wake.kwa hiyo bado huo ni mfano wake
Si JPM amekwisha nyakuliwa?!!
Au unashangaa kwa kua wewe hujanyakuliwa!!?

Just a joke;!
 
Watashuka nao na ndege kwa wingii tutachanja wenyewe.
 
Una uhakika watu bado hawajanyakuliwa?? Kwan unyakuo lazima ujuee..ohoo..hv hv watu wanavyoondoka usikute ndo unyakuo we endelea kusubir unyakuo tuu..
Bado.
"Ndipo itakapoonekana ishara yake Mwana wa Adamu mbinguni; ndipo mataifa yote ya ulimwengu watakapoomboleza, nao watamwona Mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na nguvu na utukufu mwingi." Mathayo Mtakatifu 24:30
 
Hats hivo hakuna faida ya kuendelea kuishi ktk dunia hii iliyo jaa madhambi wee dunia isha haraka nimechoka kuona magonjwa, ajari na watu wenye roho MBAYA sana.

Hili swara LA kutouza wala kununua dalili sake zilianza mwaka 1886 Kule marekani sasa naona linakalubia kuanza tene.

Asante Yesu kwa hili tukio na walio wekeza mali zao ktk dunia hii poleni sana mtalia sana mda sii mlefu.
 
Kwani kwa kusema tofauti ni tiketi ya kutokuwa marehemu???au kifo kimekuwa na tabia za kike siku hizi??


Nadhani wewe ndio utakua mpuuzi usomi upi unaozungumzia?

Wasomi wapi unaowazungumzia ? Au ndio PhD za kina Gwajima??

PhD ya Jiwe ndio alifundishwa darasani kuwa chanjo zimeletwa na beberu kuja kuua? Chanjo ngapi tunatengeneza za kuanzia watoto?

Mbona chanjo 99% ni import ! ? Hilo darasa la Pharmacology jiwe alilosoma aliambiwa kuna dawa haina side effect??

Huoni hata akina Kigwangalla wamemgeuka means kulikua na kitu nyuma ya maamuzi ya hovyo..

Leo hii tunasikia KCMC inatumia hadi mitungi ya Oxygen 400 kwa siku halafu wanakuja wapumbavu hapa kuongea ujinga ujinga..

Huku nilipo wanaogua na kulazwa asilima nyingi ni ambao hawajachanjwa na ndio chanzo cha kuleta variant mpya ndio maana waliochanjwa hushauriwa kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari ila risk sio kubwa kama ambao hawajachanjwa..

Wewe piga domo babu yako sjui anafanyaje ila ikimkuta vizuri ndio utaelewa si boss wenu alisema korona ni futa na kahoma kadogo..!
 
Siku zote mshahara wa ujinga huwa ni madhara makubwa..

Ndio hapa umuhimu wa katiba unaonekana pale mtu analala huko na kuamka kujiamulia vitu

Unawezaje kuzuia chanjo halafu kuna watu wanahitaji chanjo hiyo, ila kwa opinion zako unajiamulia kusema hapana?

Watanzania wangapi walikua wanasafiri kwenda nje na kucheleweshwa chanjo kuliwaingiza gharama za ajabu kufanya vipimo na kukaa quarantine kwa gharama wasizotarajia?

Chanjo ingekuja zamani wazee na hata waliokuwa na pre-existing comorbidities wangeokolewa?


Maisha ya wangapi yalipotea sababu ya mtu mmoja asiyetaka chanjo? Madhara ya kuwaondoa wategemezi na wapendwa wa familia mbalimbali kwa maamuzi yake binafsi nani atalipa?

Hayo ni machache tu
 
Bora unaongelea aliyofanya unayemsema, wewe lakwako ni lipi?

Tumeona, lockdown dunia nzima imewashinda, na lilikuwa ni jambo la muda tu kidhihirisha alichokuwa akikisema usiyempenda,

wewe unanini cha maana ili ulumbukwe we mbugila,?
 
Hiyo hiari ni siasa tu na mtachanja mpende msipende.

Watajua wapi pa kuwabana mpaka mchanje.

Ni swala la muda tu.
kuna agenda gani nyuma ya hii chanzo?

Kwan we ukichanja hofu yako nini.
ikiwa ni kweli huambukizi wala kuambukiza.

Au kuna global spiritual agenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…