Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Wafaransa wanavyopenda kuaandamana lazima patawaka mpaka kieleweke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaaa!Una uhakika watu bado hawajanyakuliwa?? Kwan unyakuo lazima ujuee..ohoo..hv hv watu wanavyoondoka usikute ndo unyakuo we endelea kusubir unyakuo tuu..
Kinachozuia Ni kila mtu apate habari njema kwanza. Unyakuo Ni baada ya chapa mkuu. Kasome vizuri Mathayo na UfunuoTunaishuhudia mbele ya macho yetu! .?akini haya ni maandalizi tu ya ujio wa mpinga Kristo. Bado yupo azuiaye yaani kanisa la Mungu! Ka isa la Mungu (watu waliookoka) liki yakuliwa tu, watakaobaki ni kilio na kusaba meno!
Hapo mwisho sawa Ila kwenye chukizo la uharibifu sicho hicho unachoongelea. Chukizo la uharibifu Ni kitu kingine. Sina Daniel vizuriMkuu ondoa hofu siyo hii.
Kumbuka chukizo la uharibifu wa patakatifu, hapo ndipo viongozi wa kisiasa watakapoungana na kidini ili kuanza kuliharibu hekalu (mwili) ambapo Mungu atachukizwa, Luke 21:9...
Kumbuka mwisho hauji mpaka kila kiumbe chenye damu na uelewa kitakaposikia neno la Mungu, Mathew 24:1...
Lazima tu uchukue ukweli.Mungu akupe neema ya kuijua kweliMawazo ya wasabato haya, ujinga wa hawa watu bana ndio mana walikaa kusubiri ndege.
C= 3? In which language?Hesabu yake iko hivi ukichukua lile neno CORONA idadi yake ya herufi ziko 6, haya jaribu kuhesabu mpangilio wa alfabeti kila moja utaona kila alfabeti ni ya ngapi kisha jumlisha kwa pamoja zile idadi zake utapata neno la siri lililofichwa ndani yake ambayo ni 666( alama ya mnyama /mpinga kristo) ilivyo ingizwa kwa siri kubwa duniani pasi na walimwengu wenyewe kutambuwa kwa haraka.
C - 3
O - 15
R - 18
O - 15
N - 14
A - 1
= =
6 66
Na kwenye Biblia imeandikwa Akapewa kutia pumzi katika ile sanamu ya mnyama, hata ile sanamu ya mnyama inene, na kuwafanya hao wote wasioisujudu sanamu ya mnyama wauawe (Ufunuo wa Yohana 13:15).
Hahahaha mkuu relax. Bado Sana mpaka siku utakapoona Marekani imesaliti IsraelNgoja tuanze kutunza vyakula na kulima bustani na kuchimba visima ili huyu mpinga Kristo akianza tuwe self sufficient!
Nimeona na USA MZee Biden katangaza watumishi wooote wa Umma kuwa lazima wachanjwe!
Mbongo hajawahi kushindwa figisu yoyote ile wewe.....!
Muda si mrefu naanza kuuza vyeti (orijino) vya kuonyesha umechanjwa J&J, hata kama watalazimisha kutuwekea "chip" nitamwaga chanjo zao kukuchoma maji tu na chip nitakuwekea.
karibu sana pm!
Hapana, hii duniA inakwenda kwa kasi sana i see!Hahahaha mkuu relax. Bado Sana mpaka siku utakapoona Marekani imesaliti Israel
Kitabu cha Mungu kinachothitisha uwepo wa Mungu kama hiyo namba 666 na leo ufaransa hakuna kufika sokoni kama hujachanja.Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Si JPM amekwisha nyakuliwa?!!666 itakuja baada ya Yesu kunyakuwa watu wake.kwa hiyo bado huo ni mfano wake
Bado.Una uhakika watu bado hawajanyakuliwa?? Kwan unyakuo lazima ujuee..ohoo..hv hv watu wanavyoondoka usikute ndo unyakuo we endelea kusubir unyakuo tuu..
Kwani kwa kusema tofauti ni tiketi ya kutokuwa marehemu???au kifo kimekuwa na tabia za kike siku hizi??
Wewe ni mpuuzi, inamaana hiyo corona ilimuona yeye peke yake, wewe na wazee wako mlikuwa mnajikinga?
Mbona wazee wangu na babu zangu hawakujikinga kwa lolote na bado wapo?
Wagonjwa wa moyo alikuwa ni JPM pekee nchi nzima, na hapakuwepo wagonjwa wengine, na je sasa wagonjwa wa moyo wote wamekufa na korona
Nadhani wewe ndio utakua mpuuzi usomi upi unaozungumzia?Wewe ni mpuuzi, inamaana hiyo corona ilimuona yeye peke yake, wewe na wazee wako mlikuwa mnajikinga?
Mbona wazee wangu na babu zangu hawakujikinga kwa lolote na bado wapo?
Wagonjwa wa moyo alikuwa ni JPM pekee nchi nzima, na hapakuwepo wagonjwa wengine, na je sasa wagonjwa wa moyo wote wamekufa na korona?
Siku zote mshahara wa ujinga huwa ni madhara makubwa..Aliyekwambia ukisoma unasimamisha uwezo wa kufikiri na kutumia hiyo elimu badala yake,ndio huyu anasababisha wasomi mnaonekana hopeless.
Usomi huu wa kudhani magufuli alifariki kwa corona,hasa baada ya kuibeza ndio hatuutaki.
Tunataka usomi wa kung'amua kwamba kwanini corona inachagua wa kuwaua kati ya wanaipuuza.
Bora unaongelea aliyofanya unayemsema, wewe lakwako ni lipi?Nadhani wewe ndio utakua mpuuzi usomi upi unaozungumzia?
Wasomi wapi unaowazungumzia ? Au ndio PhD za kina Gwajima??
PhD ya Jiwe ndio alifundishwa darasani kuwa chanjo zimeletwa na beberu kuja kuua? Chanjo ngapi tunatengeneza za kuanzia watoto?
Mbona chanjo 99% ni import ! ? Hilo darasa la Pharmacology jiwe alilosoma aliambiwa kuna dawa haina side effect??
Huoni hata akina Kigwangalla wamemgeuka means kulikua na kitu nyuma ya maamuzi ya hovyo..
Leo hii tunasikia KCMC inatumia hadi mitungi ya Oxygen 400 kwa siku halafu wanakuja wapumbavu hapa kuongea ujinga ujinga..
Huku nilipo wanaogua na kulazwa asilima nyingi ni ambao hawajachanjwa na ndio chanzo cha kuleta variant mpya ndio maana waliochanjwa hushauriwa kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari ila risk sio kubwa kama ambao hawajachanjwa..
Wewe piga domo babu yako sjui anafanyaje ila ikimkuta vizuri ndio utaelewa si boss wenu alisema korona ni futa na kahoma kadogo..!
kuna agenda gani nyuma ya hii chanzo?Hiyo hiari ni siasa tu na mtachanja mpende msipende.
Watajua wapi pa kuwabana mpaka mchanje.
Ni swala la muda tu.