#COVID19 Ufaransa: Raia kuhitaji kibali maalum kwenda migahawani, baa n.k

#COVID19 Ufaransa: Raia kuhitaji kibali maalum kwenda migahawani, baa n.k

Bora unaongelea aliyofanya unayemsema, wewe lakwako ni lipi?

Tumeona, lockdown dunia nzima imewashinda, na lilikuwa ni jambo la muda tu kidhihirisha alichokuwa akikisema usiyempenda,

wewe unanini cha maana ili ulumbukwe we mbugila,?
Lockdown imewashinda kivpi wakati wameshachanja ndio wakapunguza restrictions?? Au ulidhani lockdown ni permanent solution??
 
kuna agenda gani nyuma ya hii chanzo?

Kwan we ukichanja hofu yako nini.
ikiwa ni kweli huambukizi wala kuambukiza.

Au kuna global spiritual agenda.
Chanjoa haina faida kama 70% ya population haijachanja. Yaani ww hujachanja bado utaambukiza watu wengi however ukichanja na wote wakachanja obvious kasi ya kusambaa na vifo inapungua.

Ni sawa na condom mbona kampeni ilikua kubwa kuliko chanjo za Covid 19 ila hamkusema ni 666?? Chanjo ya ebola ilipitishwa ndani ya saa 72 na WHO ila sikusikia kelele?? Tuacheni conspiracy theory.
 
Nawasalimu kwa jina la JMT!

Tanzania kuchanja chanjo ya Corona ni swala la hiyari siyo lazima na kiukweli hili ni jambo jema.

Namuomba Mungu mwenyezi tusifikie ile hali ya nchi ya Ufaransa ambayo imewatangazia wananchi wake wasiochanja kwamba ifikapo 01/08/2021 hawataruhusiwa kununua vitu sokoni.

Mungu ni mwema wakati wote!
Hulielewi vizuri. Ufaransa itazuia watu wasiochanjwa kuingia sehemu kubwa za mauzo (shopping malls) tu, na ni kama hawana uthibitisho wa kutokuwa na corona kwa kupimwa. Kanuni hii haiuhusu supamaketi na maduka ya kawaida
 
666 itakuja baada ya Yesu kunyakuwa watu wake.kwa hiyo bado huo ni mfano wake
,
FB_IMG_1623757118209.jpg
 
Nawasalimu kwa jina la JMT!

Tanzania kuchanja chanjo ya Corona ni swala la hiyari siyo lazima na kiukweli hili ni jambo jema.

Namuomba Mungu mwenyezi tusifikie ile hali ya nchi ya Ufaransa ambayo imewatangazia wananchi wake wasiochanja kwamba ifikapo 01/08/2021 hawataruhusiwa kununua vitu sokoni.

Mungu ni mwema wakati wote!
Imetimia yale ya ufunuo kuwa "ikiwa hautachanjwa alama ya mnyama yule hautaruhusiwa kuuza wala kinunua"
 
Nawasalimu kwa jina la JMT!

Tanzania kuchanja chanjo ya Corona ni swala la hiyari siyo lazima na kiukweli hili ni jambo jema.

Namuomba Mungu mwenyezi tusifikie ile hali ya nchi ya Ufaransa ambayo imewatangazia wananchi wake wasiochanja kwamba ifikapo 01/08/2021 hawataruhusiwa kununua vitu sokoni.

Mungu ni mwema wakati wote!
tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule

Ufunuo wa Yohana 13:17
 
Bora unaongelea aliyofanya unayemsema, wewe lakwako ni lipi?

Tumeona, lockdown dunia nzima imewashinda, na lilikuwa ni jambo la muda tu kidhihirisha alichokuwa akikisema usiyempenda,

wewe unanini cha maana ili ulumbukwe we mbugila,?
Sihitaji kukumbukwa kukumbwa kwa kulazimsha kama legacy fake inayolindwa na mtutu , nitakumbukwa inapobidi ila sio kwa kulazimisha misifa ..
 
Haya mambo ya kipindi cha dhiki kuu wasabato wameyafundisha tangu miaka mingi sana, nafikiri udhihirisho wake ndo unaanza hivyo. Kwa sisi tunaomtumainia Mungu Mwenyezi ni kujiaandaa kwenda kuishi milimani, tutakula nini Mungu ndo anajua.........ila imeandikwa atakayevumilia hadi mwisho ndo ataokoka.........soma mwenyewe mistari kutoka ufunuo wa Yohanna..............

13.16 Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao;

13.17 tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.

13.18 Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.
Nyie jamaa wapuuzi sana, hao wazungu waliowaletea hao miungu mnaowaabudu, biblia na huo uchafu mwingine wanachanja! Nyie mlioletewa hivyo vitu ili muwe makondoo wawatawale vizuri hamtaki kuchanja, kwa hakika itatuchukua muda mrefu waafrika kufunguka bongo zetu
 
Na ikija chanjo ya AIDS/UKIMWI iwe hiyari hivyohivyo....

-Flaviana Matata
 
Nawasalimu kwa jina la JMT!

Tanzania kuchanja chanjo ya Corona ni swala la hiyari siyo lazima na kiukweli hili ni jambo jema.

Namuomba Mungu mwenyezi tusifikie ile hali ya nchi ya Ufaransa ambayo imewatangazia wananchi wake wasiochanja kwamba ifikapo 01/08/2021 hawataruhusiwa kununua vitu sokoni.

Mungu ni mwema wakati wote!
Kwa hio unanifananisha na wazungu kuwa utauziwa kutonunua viazi pale buguruni??

Acha kunywa ulanzi bwasheee
 
Back
Top Bottom