Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,075
Sasa ni kubamiza kwa kwenda mbele!
Chunga na pochi yako mkuu. Bila hivyo unaweza ukute unakamulia kotekote. ha haha....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ni kubamiza kwa kwenda mbele!
kwani KANSA nayo ni infection? Nayo pia inasababishwa na pathogens? Siyo kwamba ni chembe chembe za mwili huasi utaratibu na kuamua kuishi milele na kugawanyika/kuongezeka bila mpango?
Tatizo ya Ukimwi ni kuwa hao siyo wadudu ila VIRUS. Kuwaondoa Virus mwilini ni kasheshe.
Inabidi waje wagundue Anti Virus ambao wataingizwa mwilini na kuwashambulia.
Mfano ni ugonjwa wa KANSA ambao na wenyewe ni VIRUS. Juzijuzi wametibu mtu kwa kumwingizia Virus waliokuwa modified wa Ukimwi na jamaa akapona. Kilichotokea hapo ni kuwa hao Virus wa Ukimwi walikuwa kama ANTI VIRUS na wakawashambulia Virus wa Kansa na mtu akapona.
Labda wawabadili Virus wa Kanza na waanze kuwatumia kuwala Virus wa ukimwi?!?!?! Ngoja wataalamu wa IT na Uganga waje hapa watupe mwanga zaidi kwa hili.
Ila msianze ngono nzembe sasa maana kuna magonjwa mengine mengi tu yanauwa na hujui bei ya hiyo dawa itakuwaje.
Sasa hao virusi wakipandikizwa kazi yao ikiisha ya kula virus wanaenda wapi?