ok.,🐒Watanzania wa October 29 waliifundisha dunia namna ya kufungua vichwa na masikio ya viongozi vilaza wasiotaka kusikiliza Kero za wananchi masikini.
CCM wakiendeleza ukilaza wa kuwalea ccm mtandao basi mwaka 2030 itakuwa mara 20 ya kinachoendelea Ufaransa na Ulaya yote.
Wangapi wameuliwa?Maandamano makubwa sana
Maandamano ya yellow vest ufaransa yamekua yakifanyika muda kabla Samia hajashika hatamu na hivyo kuwaudhi maaskofu na kupelekea kuusakama utawala wake hadi kuratibu maandamano ya oktobaWatanzania wa October 29 waliifundisha dunia namna ya kufungua vichwa na masikio ya viongozi vilaza wasiotaka kusikiliza Kero za wananchi masikini.
CCM wakiendeleza ukilaza wa kuwalea ccm mtandao basi mwaka 2030 itakuwa mara 20 ya kinachoendelea Ufaransa na Ulaya yote.