Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
Tina,
Mbona juzi nimesikia kuwa "The best CEO wa mashirika ya Tanzania kwa sasa?"
Au ukimlinganisha na wengine ambao ndiyo wabovu zaidi, jamaa anakuwa walau ana nafasi?
Naweza kwa upande fulani kuamini ukilinganisha na mashirika kama ATCL.
Sikonge Hoja yako imekaa kimtego mtego, ebu nione atakayeivaa! LOL!