Ufaransa yaipa Tanzania mkopo wa Tsh. Bilioni 361.7 kuzalisha umeme wa jua

Ufaransa yaipa Tanzania mkopo wa Tsh. Bilioni 361.7 kuzalisha umeme wa jua

Ifike mahali wajue wananchi sio majuha.
Tuliambiwa mradi wa Rufiji tutazalisha na kuuza.
Gesi tunayo na tutauza Kenya
Je tunakopa kwa ajili ya nini? Je 10% kwa wanaoingia kwenye hii mradi?

Itafika wakati hakuna kinga maana kwa katiba tutazifuta kila aliyefanya maamuzi ya hovyo ni chuma tu
 
BONGO TUNAONGOZWA KWA HISIA, MIMI NILIWAHI KUWAZA HIVI TUNA MAENEO MANGAPI YANA UPEPO WA KUTOSHA KUZALISHA UMEME, SAME NI MOJA YA WILAYA AMBAYO INGETUPA UMEME WA UHAKIKA, SINGIDA THE SAME, ILA TUNAKUMBATIA MIHEMKO TU .....

IFIKE PAHALA TUWAZE MARA MBILI, UHARIBIFU KULE RUFIJI UNA MANUFAA GANI KAMA TUNATAKA UMEME WA JUA SAIZI?

BONGO LALA
 
MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Machafuko na vita isiyoisha ni jambo la kudumu katika nchi za kiafrika zilizokuwa makoloni ya ufaransa pamoja na nchi zilizojenga uswahiba na ufaransa.

UFARANSA KARIBU BONGO. PAKUANZIA NI UVCCM (Green Guards) NA BAVICHA (Red Brigade).
 
50MW kwa bilioni 361? Ebu tuone, 2115MW zijengwe kwa trilioni 7, wastani wa 3.3bn kwa 1MW, sasa mbona kwa hesabu hiyo, hizo 50MW zingejengwa kwa chini ya bilioni 200 tu?

Au ndo mambo ya bajeti halisi ya ujenzi wa daraja kigamboni ni 160bn, pesa zilizotumika kujenga ni 260bn?

Nakumbuka, umeme wa jua ulikuwa kwenye mpango mama wa Tanesco miaka ileee, serikali ikawanyima pesa, mjanja mmoja akaleta umeme wa dharula kwa pesa ile ile aliyonyimwa Tanesco, mjanja yule akakamata usukani na nasikia kashika remote sebuleni, anatuwekea BBC sisi wa uswahilini.
 
Ifike mahali wajue wananchi sio majuha.
Tuliambiwa mradi wa Rufiji tutazalisha na kuuza.
Gesi tunayo na tutauza Kenya
Je tunakopa kwa ajili ya nini? Je 10% kwa wanaoingia kwenye hii mradi?

Itafika wakati hakuna kinga maana kwa katiba tutazifuta kila aliyefanya maamuzi ya hovyo ni chuma tu
Wote nyuma ya Nondo, hizi kinga za kushtakiwa zinawapa jeuri
 
BONGO TUNAONGOZWA KWA HISIA, MIMI NILIWAHI KUWAZA HIVI TUNA MAENEO MANGAPI YANA UPEPO WA KUTOSHA KUZALISHA UMEME, SAME NI MOJA YA WILAYA AMBAYO INGETUPA UMEME WA UHAKIKA, SINGIDA THE SAME, ILA TUNAKUMBATIA MIHEMKO TU .....

IFIKE PAHALA TUWAZE MARA MBILI, UHARIBIFU KULE RUFIJI UNA MANUFAA GANI KAMA TUNATAKA UMEME WA JUA SAIZI?

BONGO LALA
Huku Rufiji, hiku tunakopa Solar, no Focus!!
 
Back
Top Bottom