Hiyo michezo ilikuwepo tokea enzi na enzi ila ilikuwa ikifanyika Vyumbani ila kwa upande mwingine ukiwa masikini utanyanyasika tu mtu anakukopesha halafu anakuambia masharti yenye nia ya kukudhalilishaSawa sawa lakini neno kuzibuana lisiwepo tu nchini humu wazungu wanatumaliza
Wana uwezo wa kutuzalishia wafanyabiashara wasiojua kuuza hata penseli ..... NUKTAChuo kikuu Cha Dar es Salaam Hadi Leo hakina uwezo au teknologia ya kutengeneza umeme wa jua?
Kati ya chuo kikuu Cha Kwanza kuanzishwa Tanzania na chuo kikuu Cha Kwanza dunia Cha ajabu.Wana uwezo wa kutuzalishia wafanyabiashara wasiojua kuuza hata penseli ..... NUKTA
bajeti ya rufiji ilikwishafungwa na pesa tayari zipoSawa, hizo pesa ziende Rufiji kwanza, jambo moja baada ya jingine
Wote nyuma ya Nondo, hizi kinga za kushtakiwa zinawapa jeuriIfike mahali wajue wananchi sio majuha.
Tuliambiwa mradi wa Rufiji tutazalisha na kuuza.
Gesi tunayo na tutauza Kenya
Je tunakopa kwa ajili ya nini? Je 10% kwa wanaoingia kwenye hii mradi?
Itafika wakati hakuna kinga maana kwa katiba tutazifuta kila aliyefanya maamuzi ya hovyo ni chuma tu
Huku Rufiji, hiku tunakopa Solar, no Focus!!BONGO TUNAONGOZWA KWA HISIA, MIMI NILIWAHI KUWAZA HIVI TUNA MAENEO MANGAPI YANA UPEPO WA KUTOSHA KUZALISHA UMEME, SAME NI MOJA YA WILAYA AMBAYO INGETUPA UMEME WA UHAKIKA, SINGIDA THE SAME, ILA TUNAKUMBATIA MIHEMKO TU .....
IFIKE PAHALA TUWAZE MARA MBILI, UHARIBIFU KULE RUFIJI UNA MANUFAA GANI KAMA TUNATAKA UMEME WA JUA SAIZI?
BONGO LALA
huo ni ukweli ndugu.! then wakishindwa kuiongoza wanaisingizia serikali..Wanatoa mkopo wa kununua bidhaa zao..na kuwapa ajira watu wao.