Off of the topic.Hapa Zanzibar tu wagalatia . mumejaa wengine mnalala mpaka kwenye mapaa ya nyumba za Michenzani , utafikiri kumbikumbi. Sijui mnafuata kitu gani
Off of the topic.Hapa Zanzibar tu wagalatia . mumejaa wengine mnalala mpaka kwenye mapaa ya nyumba za Michenzani , utafikiri kumbikumbi. Sijui mnafuata kitu gani
Hizo nchi za kiislam ni boring na hakuna chochote cha maana unachoweza kujifunza ukiwa kwenye hizo nchi tofauti na kukaririshwa tu mambo ya dini mambo ambayo jamii ya watu wa sasa wamechoka nayo.
Shida yenu ndio hii
Palestina unaizungumzia na kuichanganya vp na dini ya kiislamu?
Palestina inapigania utaifa wake au uislamu wake?
Dini ya kiislamu ni shida Duniani, hata hapa Tanzania tunaona walivyo mataahira, wanatetea kila kitu hata vinavyouwa utaifa kisa kinafanywa na muislamu mwenzao.
Uislam ni dini ya machafuko.
Muda wote na Dunia yote wao ni jamii inayolalamika kuonewa tu,
Wakikaa na wayahudi, shida.
Wakikaa na wakristo, shida
Wakikaa na budha, shida
Wakikaa na wahindu, shida
Wakikaa na wapagani, shida
Hata wakikaa wao peke yao ni shida.
Wamejaa hila na uongo km baba yao Ibilisi.
Hata kitabu chao Quaran kinawaruhusu wadanganye wanapotetea imani ya kiislamu.
Uongo unahalalishwa kwenye Quaran.
Ni kweli ukristo ni upendo angalia mwenyewe wakristo wenzako hawa
View: https://www.instagram.com/reel/DWwQW5UjsvK/
Usilolijua usiliongelee maana litakutia aibu.kasome jeremiah 8:8 itakujibu kuhs dini ya ukristo
Kumetokea nini huko tujuzane mkuuBaada ya ugaidi wa september 11 nchini USA, watengeneza ndege waliona tishio la kuhujumu ndege linatoka nje ya cockpit hivyo wakaweka mlango na lock. Hali imegeuka, tishio sasa limekuwa ni kutoka ndani ya cockpit, kwa marubani wenyewe. Naona huenda kutakuwa tena na mabadiliko au kanuni nyingine. Na zaidi, marubani watakuwa wanapitia kwenye chujio kali sana kwa sababu hali inaogopesha. Ukisoma jinsi hili tukio la FlyDubai lilivyofanyika, utagundua kuwa walikuwa na bahati kubwa kupona. Bado najiuliza: hivi wasingekuwepo wale ma-pilot wa ziada ni nani angei-stibilize ndege na kutua salama? Au kama kile kishoka kingekuwa kimemfanya yule rubani apoteze fahamu mara moja!
Mpagani unajifanya huujui ukristo??Usilolijua usiliongelee maana litakutia aibu.
Kitabu cha jeremiah ukristo haukuwepo.
Unajua ukristo ni nini na ulianza lini?
Lazima wawepo kwenye long flights na by the way mmoja wa hao marubani wawili wa ziada alikua muislam wa Egypt!hivi wasingekuwepo wale ma-pilot wa ziada ni nani angei-stibilize ndege na kutua salama?
Kumbe ni ndege zinazoenda Israel pekee?? Unavyoongea hapa ni kana kwamba ni route zote.Mediapart reported that Air France had informed affected employees that they could no longer operate flights to Israel under the Israeli instructions.
Mkuu hawa walikuwa wanakwenda kurusha ndege nyingine. Ilikuwa ni bahati tu halafu hiyo wala haikuwa ni long flight. Long flights marubani wa ''relief'' huwa wanakuwa wote pamoja kwenye cockpit na wanakuwa na uniformLazima wawepo kwenye long flights na by the way mmoja wa hao marubani wawili wa ziada alikua muislam wa Egypt!
Nadhani tumeangalia hili swala kidini zaidi ila hizi suicide za marubani ndege zimetokea sana recently na watu ambao hata sio waislam wala waarabu na kuua maelfu.
Rejea Malaysia Airlines, Air India, China Airlines n.k hizo ndege 3 pekee zimeua zaidi ya watu 1000 kwa suicide za pilots ila kwakuwa marubani hawakuwa waislam au waarabu zilipotezewa tu kama "suicide"