Ufaransa yasitisha Misaada Burkina Faso kwa kuiunga Mkono Niger

Ufaransa yasitisha Misaada Burkina Faso kwa kuiunga Mkono Niger

Ufaransa huenda likawa taifa la mwanzo Ulaya kufa.Sasa hivi wanarusha mateke. Ujerumani itafuatia.
Vita haijaisha tushaamin tumeshinda , hayo ndo mapungufu yetu watu weusi , ngozi nyeupe hupambana mpk dk ya mwisho tofauti na sisi
 
Ona ushenzi wa wafaransa huu:

 
Kile ambacho watawala wengi wa Africa hawajui ni

‘Hakuna msaada unatolewa na nchi za Magharibi’

Ni rasimali za Africa wanazochukua wanarudisha surplus baada ya kupata wao faida zaidi..

Hakuna AID yoyote ni pesa yetu wenyewe

Waache kukupumbazwa na rangi nyeupe.. Hawa watu ni washenzi period. Hawamthamini Mwafrika wanachofanya ni kucheza na akili za watawala nao wanaamini

Umaskini wetu ni zao la Ujinga wetu.
Ukoloni mamboleo wanauficha na kivuli Cha demokrasia [emoji4]
 
Taifa la Ufaransa limefaidika sana na Bara letu la Africa.
Wao kazi nikutoa misaada tu na si kutoa Huduma kama Japan kuleta Magari ama China kuleta Comodites.
Siku akiondolewa France sehem zake zote alizo hodhi na siku Africa itakuwa na maendeleo ya Kweli.
 
Hivi ni Ufaransa ndio inaisaidia Burkinafaso au Burkinafaso ndio inaisaidia Ufaransa. Hawa viongozi mabeberu kazi yao ni kuchota rasilimali za Afrika na kuzipeleka ulaya, waafrika Wakifanikiwa kupata Viongozi Makini ukoloni mambo leo utatoweka, ila kama tutaendelea kuwa na hawa kina Chief Mangungo safari bado ni ndefu
Wenzetu wanapambania uhuru wao sisi tunapambania kutawaliwa tena na mwarabu.
Ngozi nyeusi haithaminiki hadi siku itakapoamua kujitawala na kufurusha hawa viongozi wote machawa wa whites
 
Ukoloni mamboleo wanauficha na kivuli Cha demokrasia [emoji4]
Ni sawa na Africa watawala wanaamini pesa za misaada ni kodi za wananchi wao wakati si kweli. Financial Aid yoyote ni surplus kwao baada ya uuzwaji wa rasimali za Africa. Hakuna pesa ya bure.
Ni pesa yetu wenyewe hakuna kitu kinaitwa msaada period!
 
Back
Top Bottom