Ufaransa yasitisha Misaada Burkina Faso kwa kuiunga Mkono Niger

Ufaransa huenda likawa taifa la mwanzo Ulaya kufa.Sasa hivi wanarusha mateke. Ujerumani itafuatia.
Vita haijaisha tushaamin tumeshinda , hayo ndo mapungufu yetu watu weusi , ngozi nyeupe hupambana mpk dk ya mwisho tofauti na sisi
 
Ona ushenzi wa wafaransa huu:

Your browser is not able to display this video.
 
Ukoloni mamboleo wanauficha na kivuli Cha demokrasia [emoji4]
 
Taifa la Ufaransa limefaidika sana na Bara letu la Africa.
Wao kazi nikutoa misaada tu na si kutoa Huduma kama Japan kuleta Magari ama China kuleta Comodites.
Siku akiondolewa France sehem zake zote alizo hodhi na siku Africa itakuwa na maendeleo ya Kweli.
 
Wenzetu wanapambania uhuru wao sisi tunapambania kutawaliwa tena na mwarabu.
Ngozi nyeusi haithaminiki hadi siku itakapoamua kujitawala na kufurusha hawa viongozi wote machawa wa whites
 
Ukoloni mamboleo wanauficha na kivuli Cha demokrasia [emoji4]
Ni sawa na Africa watawala wanaamini pesa za misaada ni kodi za wananchi wao wakati si kweli. Financial Aid yoyote ni surplus kwao baada ya uuzwaji wa rasimali za Africa. Hakuna pesa ya bure.
Ni pesa yetu wenyewe hakuna kitu kinaitwa msaada period!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…