Ufaransa yatangaza kuondoa vikosi vyake Nchini Mali

Ufaransa yatangaza kuondoa vikosi vyake Nchini Mali

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amesema Vikosi vya Nchi hiyo vitaondoka Mali baada ya takriban miaka 10 ya kushirikiana na Wanajeshi wa Taifa hilo

Inaelezwa uamuzi huo umekuja baada ya kuvunjika kwa uhusiano wa kidiplomasia, huku kukiwa na ongezeko la uhasama kutoka kwa Utawala mpya wa Kijeshi wa Mali

Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara ameonya kuwa kuondolewa kwa Vikosi hivyo kumetengeneza ombwe ambalo litaongeza mzigo kwa Serikali za Ukanda ndio

=======

French President Emmanuel Macron has announced that his country's forces will leave Mali after almost a decade of fighting alongside local troops.

Officials said the decision followed a breakdown in diplomatic relations, amid growing hostility from the Mali's new governing military junta.

The move followed a meeting of EU and African leaders at the Elysee palace.

The forces will be re-deployed across Africa's Sahel region, where about 4,000 troops are stationed.

In a statement released on Thursday morning, countries involved in the French-led Tabuka Taskforce agreed to set out plans on how to remain in the region, notably Niger and the Gulf of Guinea countries, by June 2022.

"In close coordination with the neighbouring states, they also expressed their desire to remain engaged in the region, in accordance with their respective constitutional procedures" the statement read.

The decision will have major security implications for a number of countries involved in the mission.

Ivory Coast's president Alassane Ouattara warned that the withdrawal of the forces created "a vacuum" which would increase the burden on regional governments.

"We will be obliged to increase our defence forces and increase the protection of our borders," Mr Ouattara said.

Source: BBC
 
Vikundi vya kigaidi vije mara ngapi wakati ndivyo alivyokuwa anapigana navyo.
 
Wasije kuwafanyia tu figisu kwa kuwaletea vikundi vya magaidi.......mzungu ukimtoa kwenye maslahi yake anakua na roho ya korosho
Hizo ni propaganda za kiafrika tu!!hivi kweli ufaransa kwa nchi ya MALI, na ukanda wote ule wa SAHEL, wanafaidika nini?!!
 
kama hawafaidiki walikua wanfanya nn siku zote hizo
Tatizo lako hujui hata kinachowafanya wajiondoe mali!!!haya mambo ya siasa sio mpira "ile ni off side au ni on side" mwenye kelele nyingi anaweza kuwa mshindi, lakini kwenye siasa, huku ni facts na uelewa!!kama ungekuwa na uelewa japo mdogo usingeweza kuuliza hivyo!!
Na ndio maana wamejiondoa MALI, lakini sio ukanda wote wa SAHEL.
 
Wakatulie kwenye nchi zao
 
Wakatulie kwenye nchi zao
Akili za Miafrika, ndio zinawafanya waje huku, mbona hawaendi ulaya?!!wewe kiongozi anajiona nchi ni mali yake, na wengine wote ni wahuni tu!!!malizeni matatizo yenu muone kama watakuja, na nyie ndio mnawaita hawaji hivi hivi!!!
 
Waache kushoboka nani aliwaomba hao ....ona sasa wanafukuzwa kwa aibu...........hongera weye mwenye akili za mizungu
 
wasanii tu kama baba yao marekani,......................wanatengeneza tatizo wenyewe halafu wanazuga kulitatua
Magaidi wanajua kuteteana sana labda kwa sababu wanadai wote ni ndugu.
 
Back
Top Bottom