Ufaransa yatangaza kuondoa vikosi vyake Nchini Mali

Ufaransa yatangaza kuondoa vikosi vyake Nchini Mali

Tatizo lako hujui hata kinachowafanya wajiondoe mali!!!haya mambo ya siasa sio mpira "ile ni off side au ni on side" mwenye kelele nyingi anaweza kuwa mshindi, lakini kwenye siasa, huku ni facts na uelewa!!kama ungekuwa na uelewa japo mdogo usingeweza kuuliza hivyo!!
Na ndio maana wamejiondoa MALI, lakini sio ukanda wote wa SAHEL.
mimi naweza nikawa sijui ila na ww umaweza ukawa hujui zaidi
waondoke ukanda wote kwani huko kwengine wamekumbana na yalowakumba mali
wasepe hawana msaada na hawakuwahi kua na msaada
 
Akili za Miafrika, ndio zinawafanya waje huku, mbona hawaendi ulaya?!!wewe kiongozi anajiona nchi ni mali yake, na wengine wote ni wahuni tu!!!malizeni matatizo yenu muone kama watakuja, na nyie ndio mnawaita hawaji hivi hivi!!!
wewe ndio akili zako zinavyosema
pale UKRAINE walipoenda ipo ukanda gani wa AFRIKA
kwani walitumwa si ushenzi wao tu
 
wewe ndio akili zako zinavyosema
pale UKRAINE walipoenda ipo ukanda gani wa AFRIKA
kwani walitumwa si ushenzi wao tu
Jeshi gani liko ukraine?siasa ni facts, kuna jeshi lolote la NATO, liko nchini ukraine?, wewe uwepo wako duniani ni kwa msaada mkubwa wa hao washenzi.
 
Akili za Miafrika, ndio zinawafanya waje huku, mbona hawaendi ulaya?!!wewe kiongozi anajiona nchi ni mali yake, na wengine wote ni wahuni tu!!!malizeni matatizo yenu muone kama watakuja, na nyie ndio mnawaita hawaji hivi hivi!!!
Ufaransa ni vigeugeu sana, wanafiki na walafiukanda waliotawala kina Francophone ndio wanakuwa na mapinduzi kila kukicha, hujiulizi kwa nini? Huoni mkono wa Ufaransa kwenye mabaya yanayotokea mataifa yale na kiini macho chao cha kulinda amani. Unahisi kwa nini Algeria haijawahi kuwa na uhusiano mzuri na Ufaransa, wakati Algeria ndio uchumi mkubwa na jeshi kubwa maradufu upande huo wa Afrika Magharibi-Kaskazini?

Algerians mpaka leo ni anti-French na hakuna kitu utawafanyia waiamini Ufaransa. Ile nchi haiaminiki ni wanafiki wakubwa hata wazungu wanaijua. Mnapanga hiki, mnaongea hiki ila inakuwa na ajenda nyingine. Nchi zenye msimamo, uchumi na jeshi kubwa ndio zinaweza udhibiti upuuzi wake. Miaka michache hapa Australia ilivunja mkataba na Ufaransa kwenye deal la kununua submarines lenye pesa nyingi, Ufaransa ndio ilimuuzia Saddam Hussein teknolojia ya nyuklia, ndio iliipa technical assistance Argentina ipigane na Uingereza kwenye Falklands war miaka ya 1970s. Hao ni wazungu wenye kujitetea, kwa sisi inakuaje?

Huyo Alassane Ouattara wa Ivory Cost anayelalamika hapo si ndio alipokuwa mpinzani alipiganiwa na Ufaransa ashinde urais baada ya Laurent Gbagbo kugomea matokeo yaliyokuwa na figisu mwaka 2010. Aliposhinda 2010 leo miaka mingapi imepita, ushasikia Ufaransa inakohoa kwanini kapitisha mihura miwili ya kikatiba?
Ouattara alifanya kazi na mashirika ya nje, IMF ikalazimisha awe Waziri Mkuu miaka ya 1990s (Wafaransa haohao), alipokufa rais jamaa akataka kulazimisha yeye awe mrithi na katiba inasema Speaker ndio anakuwa. Akashindwa mgogoro akawa mpinzani, 2010 Ufaransa iko mbiombio kulazimisha awe rais. Huo ni mfano mmoja, nchi nyingine zote ni hivyo. Ufaransa wapuuzi
 
Back
Top Bottom