Ufaulu kidato cha sita watia shaka wadau wa elimu

yaani kiukweli elimu wanaiua kabisaaa...kulazimisha watoto kufaulu wakati uwezo wao ni mdogo ni kulipelekea taifa kujaa wajinga na kuleta wajuzi toka nje kufanya kazi..huku taifa kujawa na sifa za kufaulisha wajinga...
 
Reactions: BAK
Bibie, elimu ina misingi yake ambayo ni muhimu sana kuipitia hatua baada ya hatua, sio kama barabara za Dk. Magufuli ambazo unashusha greda, linaanza kukwangua barabara na magari yanaanza kupita.

Tuliona madudu ya Ndalichako, ndio njia zake hizo? kufelisha watoto wa Kiislaam waliofaulu.
 
Tuliona madudu ya Ndalichako, ndio njia zake hizo? kufelisha watoto wa Kiislaam waliofaulu.

Duh hamtoacha kulalama vizazi hadi vizazi kutokana na kutawaliwa na mawazo mgando,shule zenu ovyooo,vyuo vyenu havina dira ila hamkosi lawama,Mungu wape nusra hawa watu tumechoka na kelele zao.
 
Duh hamtoacha kulalama vizazi hadi vizazi kutokana na kutawaliwa na mawazo mgando,shule zenu ovyooo,vyuo vyenu havina dira ila hamkosi lawama,Mungu wape nusra hawa watu tumechoka na kelele zao.

Mtasema sana, hata mnapouona ukweli mnasema eti tunalalama, wacha kuhororoja, hukumbuki ya Ndalichako mpaka matokeo yakabadilishwa? unafikiri ilikuwa bahati mbaya ile? tunazijuwa njama znu miaka mingi lakini Kikwete anazipanguwa scientifically.

Mpaka juzi kabla ya matokeo mkaja humu na kumzulia Kawambwa kafa, yote kwa chuki zenu. Mnajulikana na sisi ndio hao tunadunda.

Tutaona vyuo vitavyosheheni Waislaam toka Ndalichako atimuliwe pale. Itakuwa record na ndipo mtakapoumia sana.
 
Tanzania yetu shida sana, wanafunzi wakifeli lawama zote kwa serikali, wakifaulu lawama kwa serikali. Mi sijui tupewe nini ili tuamini haya mambo yanawezekana... Smh
 
Shirikisheni hata ubongo kidogo jamani mwanafunzi aliemaliza darasa la saba hajui kusoma wala kuandika leo anapata division one form 6 unataka watu washangilie utakua sio mzima
 

Ni nani aliyekwambia kua ufaulu wa kidato cha sita umeongezeka kutoka 40% mwaka jana mpaka 95% mwaka huu? Kwani form 6 wa mwaka jana walifaulu kwa 40%???
 

Kwani wakati unasoma ww sekondari mwalimu wako mwenye TGTS C alikua analipwa milioni ngapi mpaka akakufundisha kwa moyo mmoja hadi ukafaulu na hatimaye na wewe kua mwalimu?
 
Shirikisheni hata ubongo kidogo jamani mwanafunzi aliemaliza darasa la saba hajui kusoma wala kuandika leo anapata division one form 6 unataka watu washangilie utakua sio mzima

Ni nani ambaye hakujua kusoma lakini amepata div one fom6?
 
Mkuu NasDaz ahsante sana kwa kuziweka nondo za hali ya juu katika post yako # 12. Watanzania tumekuwa wajinga sana kiasi ambacho hii Serikali inafanya uhuni bila hata woga tena kwa kiburi cha hali ya juu huku wakijua fika kwamba uhuni wao unazidi kuchangia kwa kiwango cha kutisha kuanguka kwa elimu nchini.

Sitashangaa miaka ijayo ni Watanzania wachache sana ambao wataweza kupata ajira kwenye makampuni mbali mbali nchini au hata Serikalini kutokana na uwezo wao mdogo utakaosababishwa na kuanguka kwa elimu. Serikali na makampuni hayo itabidi yaajiri wafanyakazi toka nchi za nje ili kukidhi mahitaji yao ya Wafanyakazi. Taifa letu litakuwa ni Taifa la Wajinga kutokana na kiwango cha elimu yetu kuwa duni mno ukilinganisha na nchi majirani au dunia nzima.
 
Kumbe hujui afu unajipongeza? Ingia mbugani ndo utajua kinachoendelea huko
 
nyie mnasema ufaulu watia shaka wakati askofu akunwa na matokeo
 
Hebu tuwekee jina na elimu ya huyo Askofu, atakuwa hajitambui huyu na viongozi wengi wa dini ni wanafiki na unafiki wao ndio unasababisha nchi kwenda mrama. Wangekuwa si wanafiki na kuikekemea hii Serikali dhalimu kwa utendaji wao basi hali isingefikia hapa tulipo.

nyie mnasema ufaulu watia shaka wakati askofu akunwa na matokeo
 
Ukitaka kujua matokeo yapo kawaida angalia ufaulu wa nyuma usiangalie mwaka Huu tu ebu angalia ufaulu wa mwaka 2012;2013;2010 matokeo ya mwaka Hui hayana tofauti na miaka mingine
 
You're very right... ni kwamba muda si mrefu tutakuwa hatuaminiki tena .....and in fact, si tu kwenye ajira bali hata kwenye suala zima la admission kwenye serious higher learning institutions duniani. Haitachukua muda mrefu huko duniani kufahamu kwamba our grading system has changed to the worst grading system. Hilo likishakuwa clear, manake ni kwamba, ukitoka na cheti chako hapa cha NECTA unataka Admission kwenye (say) serious UK universities, lazima pass marks zako wazi-standardize! Ndo hapo tena, unakuta una Div. I, kikiwa standardized, Div I ina-dissolve to Div III na matokeo yake ama kukosa admission moja kwa moja au kupata kozi ambayo hukuhitaji!!
 
Reactions: BAK
Ndiyo nia ya hawa Viongozi waliopo madarakani maana ni rahisi sana kuwadanganya wajinga wenye elimu duni mwaka hata mwaka katika kutimiza mkakati wao wa kuitawala Tanzania milele huku nchi ikibaki nyuma kimaendeleo ukilinganisha na nchi nyingi duniani na baadhi hazina hata asilimia moja ya utajiri wa rasilimali kama uliokuwepo Tanzania.

 
Yale yale watu wakifaulu kelele watu wakifeli kelele,mnataka nini hasa....!!?
 
Teachers doubt accuracy of Form 6 exam results


Deputy Secretary-General of Tanzania Teachers Union (TTU) Ezekiah Oluoch . PHOTO/FILE

By Athuman Mtulya and Bernard Lugongo, The Citizen Reporters

Posted Saturday, July 19 2014 at 11:06

The Form Six Class of 2014, whose results were released on Wednesday, recorded one of the highest exam pass rates in the country's history. School-based candidates scored 98.26 per cent while the nationwide pass rate was 95.98 per cent from 87 per cent of last year.

Dar es Salaam. Deputy Secretary-General of Tanzania Teachers Union (TTU) Ezekiah Oluoch wants the 2014 Advanced Certificate of Secondary Education Examination results to be investigated.

The Form Six Class of 2014, whose results were released on Wednesday, recorded one of the highest exam pass rates in the country's history. School-based candidates scored 98.26 per cent while the nationwide pass rate was 95.98 per cent from 87 per cent of last year.

The number of those who scored Division One rose to 3,773 as opposed to 325 the previous year- more than 10-fold growth.

Division Two pass rate registers a 15 per cent increase from 12 per cent recorded last year to 27 per cent this year. The increase in pass rate means a rise in the number of candidates who scored Division Two 9,631 from 5,372 last year.

Division Three marked the most significant drop-from 70 per cent in 2013 to 47 per cent. There were 30,183 candidates who scores Division Three last year compared to 16,821 this year. There was a two per cent rise for Division Four-from 4,362 candidates last year to 4,420 this year.


The success story of these results is shocking, according to the senior TTU official, who holds that the input is ‘very different' to the output.

Mr Oluoch, who is a Chemistry teacher, said there is a no way with the current national standards, students can pass the subject for over 95 per cent, but the class of 2014 did it. They also passed with flying colours in all science subjects: Agriculture by 99.7 per cent, Biology by 97.57 per cent, Advanced Mathematics by 89.4 per cent and Physics by 78 per cent.

"I'm finding it very difficult to believe the results, majority of schools have no science laboratories plus we are currently experiencing a shortage of over 5,000 science teachers for Form Five and Six level," he said in an interview with The Citizen on Saturday. Mr Oluoch said the results must be investigated before celebrating. "We need to inquire a number of things, like the kind of standardisation used this year and the nature of the questions asked. Also was the marking system and grading not massaged," he noted.

Mr Oluoch observed that the new grading system might explain the growth in pass rate.

"Things are deteriorating, the government is yet to clear our arrears which are now at Sh14 billion…37,000 teachers were promoted last November but they are yet to be confirmed into new positions, 30,000 teachers have all the qualities to receive promotion but the government is yet to effect that because it couldn't afford to do it," he said.

The new grading system gives Grade ‘A', which is the highest pass marks, a range of 25 points from 100 to 75 marks, while in the past it used to end in 81 marks. Previously, Grade B, which started from 80 to 60 marks, has now been extended to Grade B+ (plus), which starts from 74 to 60 marks and B (plain) from 59 to 50 marks. The new system, however, trimmed the scoring points for the top three divisions. Division One now ranks from three to seven points. In the past, it ended at nine points. Division Two now spans eight to nine points from 10 to 12 points while Division Three starts from 10 points and ends to where it used to begin-13 points.

Meanwhile, The Presidential Delivery Bureau (PDB) has distanced the Big Results Now' (BRN) from the just released ‘rare and shocking' 2014 Form Six exams results. The PDB yesterday clarified that there was no link between the Form Six results with the BRN initiative.

which President Jakaya Kikwete ‘borrowed' in February last year in attempt to speed up success in various sectors, including education.

In a telephone interview with The Citizen on Saturday yesterday, Communication manager for the PDB, Mr Hassan Abbas, said the BRN initiative was only meant for primary education and Ordinary Level secondary education.

"The initiative has nothing to with the just released results because its priorities do not involve Advance Level," Mr Abbas said.

He attributed the current notable improvement in the performance in Advanced Level secondary education to the other government strategies. (such as ??????)

He said the public was wrong to link such a performance to the Malaysian-borrowed management model, BRN.
 
Hii nchi kazi sana kuiongoza, watu wakifeli kelele na mayowe nchi nzima hapalaliki, wakifaulu napo kelele za kufa mtu.. Mnataka nini wananchi? Ndiomana Mungu katuacha tufe na umasikini kwenye nchi yetu masikini sababu hatujui kuvumilia wala shukrani hatuna.
 
Nafikiri wizara ya elimu ilikaa chini na TCU wakabuni mkakati madhubuti wa kuziba pengo kubwa vyuoni lililoachwa kutokana na wanafunzi wengi wa kidato cha nne mwaka juzi kufeli vibaya.
subiri wafike huko chuo....
sitashangaa mwaka wa kwanza wakidisco zaidi ya nusu ya darasa kwenye semester ya kwanza...... Na uzuri huko vyuo serikali haina mamlaka na grades za wanafunzi, wanachokifanya hapa ni kuwapa moyo tu kwa sasa ili waone serikali inawapenda kumbe inawapotezea muda wao. Serikali inakimbia lawama tu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…