Ufaulu kidato cha sita watia shaka wadau wa elimu


Umesema kweli
 
Umesema kweli
Yametokea mara nyingi tu...
walianza kufaulisha wasiojua kusoma wala kuandika. wakawabeba mpaka F4, sasa tunashukuru kwamba tuna mahousegirl wa F4 ambao hata mwanangu akimuomba maji kwa kiinglish anamtolea macho, haelewi lolote.
Sasa wanaamua kuwachakachua mpaka elimu ya juu. nadhani kitakachofuata sasa ni kutangaza mitihani ya vyuo vikuu itatungwa na kusahihishwa na NECTA ili angalau kila mtu awe na degree (sitashangaa hili likitokea)
 

Taifa linaangamizwa na wajin.ga wachache walio madarakani
Na hii dhambi italitafuna Taifa kwa kipindi kirefu.
 
Taifa linaangamizwa na wajin.ga wachache walio madarakani
Na hii dhambi italitafuna Taifa kwa kipindi kirefu.
Na sisi tulio kwenye nyuma ya pazia tunashangilia.....
Umesikia mzazi hata mmoja ambaye kapinga matokeo ya mwanaye? hata kama anajua uwezo wake wa ufaulu siyo uliotangazwa? kila mzazi anafurahi mwanaye kapata Dv. 1 hata kama kila siku alikuwa anapata F, maisha yanasonga.
Kuna binamu yangu nilikuwa namsomesha shule fulani. kamaliza F4 matokeo yakachakachuliwa akapata C zake kadhaa. najua uwezo wake wa darasani. Nikamshauri mamake kuwa huyu tusimpotezee muda kwenda F5 badala yake apitie njia ya certificate mpaka amalize degree. Mzazi alikuja juu sana kwamba anataka mwanaye aende F5. nikamwambia poa, wewe ndo mzazi na ndo una say ya mwisho kwa mwanao hata kama mlipa ada ni mwingine. Hapa nilipo kila siku naomba kwa Mungu hii Serikali ibaki madarakani...... ikifika mwakani ikaangushwa tu wachukue ambao wanajua maana ya Elimu basi hata nafasi ile ya kusoma certificate hataipata
 
Rafiki inasikitisha kwa kweli kuona hii Serikali dhalimu inaharibu kwenye kila sekta. Hakuna hata sekta moja tunayoweza kusema hii ina afadhali, na kuna baadhi ya Watanzania pamoja na madudu yote haya bado watawapigia kura MACCM mwaka nenda mwaka rudi.

 
yaani hii serekali ya ccm ni kichwa cha mwenda wazimu lkn cishangai coz siasa uchwara hizo zinazoendeshwa na ccm walianza na kupeleka wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika sekondari sasa wamehamia na elimu ya juu.
 
Reactions: BAK
Sasa lawama za shule za Serikali kufanya vibaya katika ufaulu wanataka kuwatupia walimu wa shule husika!!!! I hope watafunguka bila woga wawaambie kile kinachoisibu elimu nchini.

Low performing secondary schools given one month to explain cause

By David Kisanga

25th July 2014

The government has issued a one month ultimatum to all heads of public schools which performed poorly in this last year's Form Four and Six national examinations to show cause.

The ultimatum follows poor performance of government schools in the recently released Form Four and Six results despite various efforts by the government to revamp their performance including major financial aid.

Speaking to journalist earlier this week in Dar es Salaam, Local Government and Regional Administration (Prime Minister's Office) Permanent Secretary, Jumanne Sagini said the government is going to take strict measures against schools found to be negligent. "We are surprised that despite government's efforts, providing grants to them, their performance is still poor…this must be looked into and action taken," he warned.

Sagini said education officers countrywide have been directed to liaise with Heads of the poor performed schools and document causes behind their poor performance.

Some of the worst performing schools at the national level include Fidel Castro in Pemba, Tambaza in Dar es Salaam, Muheza High School in Tanga, Mazizini in Unguja, Mtwara Technical in Mtwara, Iyunga Technical in Mbeya, Kaliua in Tabora and Osward Mang'ombe in Mara.

SOURCE: THE GUARDIAN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…