Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,357
- 3,550
Balaa la UFC 259 ni zito. Light heavy weight Jumapili tarehe 7th March 2021
Ikumbukwe Israel Adesanya kijana ambae ni mzaliwa wa Nigeria lakini anaishi NewZealand amepanda weight class na kuingia light heavyweight na hili ni pambano lake la Kwanza tangu apande na anakutana na bingwa huyu mahiri wa ki Polish Jan Błachowicz.
Adesanya, the laststylebender, anarecord ya michezo 20 na kushinda yote.
Mpolish nae Kwa upande wake kapigana 27 kapoteza 8 ila yupo kiwango kizuri sana.
Bila kusahau co-main event mwanadada Amanda Nunes atakipiga na mwenzake
Megan Anderson katika pambano lingine Kali la featherweight.
Ili nisikuchoshe ni kua main card ina mapambano mengi matamu Sana.
Kumbuka preliminary games zitaanza saa Saba na robo usiku na main card yenyewe itaanzia saa kumi na mbili asubuhi Kwa saa za Tanzania.