UFC: Francis Ngannou amchakaza Jairzinho Rozenstruik kwa sekunde 20

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Mcameroon Francis Ngannou ametumia sekunde 20 tu kummaliza Msuriname Jairzinho Rozenstruik ambaye kabla ya pambano hilo alikuwa amecheza mapambano 10 bila kupoteza. Ushindi huu unamuweka Ngannou mahali pazuri zaidi kupigania mkanda wa Heavyweight kwa mara nyingine unaoshikiliwa na 'Stipe', pambano hilo lililofanyika usiku wa kuamkia leo lilichezwa bila mashabiki kutokana na janga la Corona.View attachment 1445872

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20 seconds!? bora tuu hakukuwa na mashabiki[emoji23][emoji23][emoji23]
Waswahili wanasemaga 'Mwanakuyataka Mwanakuyapata', Jairzinho baada ya kumchakaza Overeem akajiona mwamba, kwa mbwembwe akaomba pambano na Ngannou, kilichomkuta ndo hicho kadundwa ndani ya sekunde 20.

Hatahivyo rekodi ya kumaliza pambano mapema ya UFC bado inashikiliwa na Jorge Masvidal aliyempiga Ben Askrem KO kwa sekunde 5 tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!muda huo upo zako unakat ticket uzame ndani uchek game unaelekea kwenye kiti unaskia kengele game over 😂😂 nadhan ndo maana wanawekaga game nyingi yaan bandika bandua...noma sana huo mchezo
 
Duh!muda huo upo zako unakat ticket uzame ndani uchek game unaelekea kwenye kiti unaskia kengele game over [emoji23][emoji23] nadhan ndo maana wanawekaga game nyingi yaan bandika bandua...noma sana huo mchezo
Yes, huu mchezo unaishaga haraka kuliko boxing, ukiotewa ni fastaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…